Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

Kumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo na Messi wanabebwa na ukubwa wa timu walizochezea,lakini ni wachezaji wa kawaida tu.
Kama wao ni wachezaji bora waende kucheza kwenye mid-table teams tuone ubora wao.


Hiyo imekaaje Bwana Mchambuzi wa SOKA?
 
Vilabu exceptional vinataka kocha exceptional
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu zuri sana Kiongozi.
Watu wengine sijui wanafikiria kwa kutumia nini aisee?
Eti ili tuthibitishe ubora wa Pep basi aende kufundisha timu ndogo.
Sawa.
Basi ili kuthibitisha ubora wa mchezaji kama Messi/Ronaldo inabidi aende kuchezea timu kama Leeds United, aipandishe daraja kisha aisaidie kubeba UEFA CHAMPs LEAGUE.
Real Madrid, Barcelona na Man Utd ni timu kubwa.

Lakini jambo la ajabu argument hii wanaitumiaga kwa Pep Guardiola tu.
Ajabu!!!
 
Huenda kweli ni kocha bora ila pesa nayo inasaidia! Siku nikimuona yupo Levante afu akachukua ubingwa nitamsifu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utetezi wako dhaifu, niambie wewe kocha wako bora ni yupi? Afu tumpe Taifa stars tuone ka tutachukua kombe la dunia au hata CAF championship?
Tuache tu ushabiki Pep ni moja ya makocha bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Epl Kocha Bora Wangu Ni Claudio Ranieri
 
Back
Top Bottom