Ronaldo na Messi wanabebwa na ukubwa wa timu walizochezea,lakini ni wachezaji wa kawaida tu.Kumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wao ni wachezaji bora waende kucheza kwenye mid-table teams tuone ubora wao.
Hiyo imekaaje Bwana Mchambuzi wa SOKA?