Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Jose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.Mbona kwenye La Liga Mou alisanda kwa Pep hata EPL pia
Stone, Everton, benardo monaco , Ederson wapi? AkanjiPep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
KweliAta city ivyo ivyo imechukua wachezaji team ndogo ndogo tu
Real Madrid ikitwaa EPL? 🤔Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey
Pep nilianza kumchukia akiwa Barca kwa ishu ya Yaya Toure, akaja kurikera tena kwa ishu ya Ronaldinho akamalizia kunitibua nafsi alivyozinguana na Et'oo.Pep Guardiola ni genius nilianza kuliona hilo tangu alipoanza kukinoa kikosi cha Barça
Kuchukua EPL mara tatu mfululizoKwani Man City wamefanikiwa nini mpaka sasa?
Nani katengeneza hiyo team yenye quality playersPep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
●Sababu ya Pep kuondoka Barça:Jose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.
Pep anamuheshimu sana Mourinho kwenye mechi za mtoano na anamwelewa vyema sana kuwa Special One huwa hacheki na kima akiwa kwenye hatua hizo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alitaka wachezaji wenye nidhamu. Na hii ni kanuni ya kwanza ili uwe kocha mzuriPep nilianza kumchukia akiwa Barca kwa ishu ya Yaya Toure, akaja kurikera tena kwa ishu ya Ronaldinho akamalizia kunitibua nafsi alivyozinguana na Et'oo.
Alivyohamia Mancity akanitibua tena kwa bifu lake na Yaya Toure, ila yote kwa yote hata umchukie Guardiola kwa kiasi gani ila ni lazima umkubali kimoyomoyo na umpe heshima yake kama kocha bora zaidi duniani kwa sasa. View attachment 2632121
Mwanzo kwa yale mapenzi yetu kwa hao wachezaji tulikua hatulioni hilo zaidi ya kumuona kama ni mbaguzi tu wa rangi, maana wachezaji karibia wengi aliokua anazinguana nao walikua ni weusi.Alitaka wachezaji wenye nidhamu. Na hii ni kanuni ya kwanza ili uwe kocha mzuri
Ronaldinho alipokuwa star alianza kuwa mtu wa night life yeye na Deco. Hata viwango vyao vikashuka
Ikiwa angewafukuza halafu Barça isifanye vizuri sawa lakini kawafukuza na akatengeneza kikosi bora zaidi
Uko sahihiMwanzo kwa yale mapenzi yetu kwa hao wachezaji tulikua hatulioni hilo zaidi ya kumuona kama ni mbaguzi tu wa rangi, maana wachezaji karibia wengi aliokua anazinguana nao walikua ni weusi.
Ila sasa hivi ndio tunaelewa kua Pep alikua kwenye msimamo sahihi, maana kocha akishindwa kusimamia nidhamu ya timu ni vigumu sana kupata mafanikio.
Mourinho alipewa Madrd ina Ronaldo,modric,benzema,ozil na mastaa kibao alifanya nini?Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Acha kinyesi mauaJose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.
Pep anamuheshimu sana Mourinho kwenye mechi za mtoano na anamwelewa vyema sana kuwa Special One huwa hacheki na kima akiwa kwenye hatua hizo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tukimpa tot atabeba ubingwa?? Alaf pep hajatengeneza mchezaj yoyote,hao wote kawachukua wapo kwenye form zaooStone, Everton, benardo monaco , Ederson wapi? Akanji
Tuache unafiki jamaa anajua kutafuta wachezaji wazuri
Hao wachezaji sio beikubwa ila kawatengeneza ata Alvarez unajua alikotoka!
Hakuna mchezaj ambaye ametengenezwa na pep pale man city,wote kawachukua wapo kwenye viwango vyao.Hata huyo kdb kamkuta pale ameshanolewa vya kutoshaNani katengeneza hiyo team yenye quality players
Weusi wamejazana crystal palace timu imekuwa kama timu ya taifa ya ghana wanafuga rasta tu paleMwanzo kwa yale mapenzi yetu kwa hao wachezaji tulikua hatulioni hilo zaidi ya kumuona kama ni mbaguzi tu wa rangi, maana wachezaji karibia wengi aliokua anazinguana nao walikua ni weusi.
Ila sasa hivi ndio tunaelewa kua Pep alikua kwenye msimamo sahihi, maana kocha akishindwa kusimamia nidhamu ya timu ni vigumu sana kupata mafanikio.
eberech eze muongo sana anatuambia ye ni wa england 😂😂Weusi wamejazana crystal palace timu imekuwa kama timu ya taifa ya ghana wanafuga rasta tu pale
Ni kama scolari alivyoamua kumuacha romario WC ya 2002 na kumchukua dinho nchini kwake watu walisema sana ili mwisho wa siku kombe akalibebaAlitaka wachezaji wenye nidhamu. Na hii ni kanuni ya kwanza ili uwe kocha mzuri
Ronaldinho alipokuwa star alianza kuwa mtu wa night life yeye na Deco. Hata viwango vyao vikashuka
Ikiwa angewafukuza halafu Barça isifanye vizuri sawa lakini aliwafukuza na akatengeneza kikosi bora zaidi
Bila man utd kumpa timu mwarabu huyu pep atatutesa sanaaHuyu jamaa epl ataichukua mpaka atakapoona inatosha