Ficha ujinga bhas hv unamjua mourinho aka msema hovyo wewe, huyu alianza kubeba uefa akiwa bado kijana natimu ndogo ya fc porto uje umfananishe nahuyu anaetumia pesa tena kwenye matimu makubwa namiaka zaid ya 15 ana uefa mbil tena zote kapewa namessiUyo morinyo akae kimya TU mpira ushamshinda,yeye mbona pia kafundisha club kubwa zenye bajeti kubwa ila kimafanikio hamfikii pep hata nusu
Hii point mbona kila mtu anaandika?? Yani inajibiwa ila bado watu wanaandika.Pep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Unaikumbuka ile Chelsea yakina maluda, mikel obi, drogba, lampard, essien hii ilifunga mabao nahadi leo record yao yamabao kwamsim mmoja haijavunjwa pale eplBinafs morinyo nu conservative Sana,anafundisha mpira wa kizamani (too defensive) na hayuko flexible kubadilika kimbinu
Timu zote anazofundisha morinyo huwa hazishambulii KABISA,huambulia magoli kiduchu sana
Kufungwa na Inter milan Haitoondoa maana yakuwa kocha bora still atabaki kuwa kocha bora na anaefundisha mpira wakuvutiaNdugu zangu Mimi sina Mengi Ya kuongea Ila Tarehe 10 Ya Mwezi wa 6 Inter Milan Watajua Kuipa Amani Dunia, Inter Watabonyeza Kitufe Kiitwacho " MWISHO WA KELELE ZA MBWEHA MJANE"...
Hao Man city A.k.a Mapasi Kumi hawatoamini Kitakachowakuta
Amani iwe Nanyi anayedaiwa ni Kocha bora wa muda wote huyo Kipara Hatoamini Pale atakapokuw anavishwa Medali ya mshndi wa pili yenye rangi kam ya Bati huku akipishana kidog na kombe La UEFA,
Na hapo ndipo Tutakaposhauri sasa UEFA waanze Kutengeneza kombe la mshnd wa Pili ili Man city nao Waweze kujufarij nalo maan kw muda mref wamekuw wakifka hatua hyo ila Kombe NO.
INTER MILAN BINGWA UEFA 2023, Anayebisha atasadiki maneno yangu Baada ya Usiku wa Tarehe 10 June
Wewe ndio mpuuzi huyo kocha wakat anakuja city akina Robert Mancini walishabeba sana vikombe vya epl nakina aguero, yaya toure, ishu yaman city ni uefa tu miaka yote saba hapo city hana uefa katumia mapesa kibao kununua wachezaj kitu ambacho angekua chelsea enz abramovic angeshafukuzwa kocha gan hana uefa nje yamessiAcha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi.
Ndani ya misimu Saba pale EPL kabeba mitano na miwili kaishika nafasi ya 2 na tatu. Hawajawahi kushika nafasi ya 4 hapo EPL huoni kama Hilo ni Jini!!!
Hiyo kuchukua Uefa ameshafanya hivyo Sana na Barca. Kwa umri wake ana kama miaka kingine 20 mbele atavunja record zote unazozijua za makocha wote unaowajua wewe. Ameikuta Manchester city ina vikombe vi5 vya EPL Leo ina vikombe 10 ndani ya misimu 7. Bado vikombe 10 afkie rokodi ya Manchester United mwenye vikombe 20 na bado vikombe 9 afikie vikombe 19 vya Liverpool.
Kama wewe huoni Gurdiola ni habari nyingine basi utakuwa na kichaa!
Kuhusu Budget nakubali lakini bajeti kubwa sio kila kitu. Tottenham anaspend hela nyingi Ila haifanyi lolote. PSG ni among top spender Ulaya Ila hafanyi lolote.
Manchester United ni among top spenders pale Ulaya Ila tangu mwaka astaafu Ferguson timu haina mbele walA nyuma
Al Nasry Ile timu ya Christiano Ronaldo ni among top spenders pale Saud Arabia Ila nenda kaangalie msimamo WA ligi Yao uone wanashika nafasi ya ngapi.
Nasema tena Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Naukiwatoa hao pep hajawai kupata kombe lolote lauefa yan kifupi bila messi gardiola hapat uefa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1783]. Umesahau Messi ,inesta na shavi ,Leo hayupo nao imegeukiwa pesa lakini mbinu hawatamki
kama kocha bora abebe UEFA basi mnayotupigia nayo kelele kutwa nzima humu JF, kuwafunga wale ma fatherhood Madrid mnajiona Mmefika sana ?? Sasa subirini kivumbi cha Inter kiwashukie Mtatafutan hiyo sikuKufungwa na Inter milan Haitoondoa maana yakuwa kocha bora still atabaki kuwa kocha bora na anaefundisha mpira wakuvutia
Hiyo uefa akichukua itakuwa mala ya 3 kufanya ivyo kwenye carrier yake kuhusu kumfunga madrid sio big deal coz ameanza kumfunga Bayern robo fainalikama kocha bora abebe UEFA basi mnayotupigia nayo kelele kutwa nzima humu JF, kuwafunga wale ma fatherhood Madrid mnajiona Mmefika sana ?? Sasa subirini kivumbi cha Inter kiwashukie Mtatafutan hiyo siku
"kifupi bila messi gardiola hapat uefa".Naukiwatoa hao pep hajawai kupata kombe lolote lauefa yan kifupi bila messi gardiola hapat uefa
aletwe Mbao United tuone kama atachukua NBC Premier league na kisha CAF champions! Msimkuze hivyo.Kiufupi Guardiola ameshindikanika
Mbona alikuwa anabeba vikombe na wakina Lionel Messi watoto kutoka La masia au hujuiPep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Inter ikifungwa mtasemaje?kama kocha bora abebe UEFA basi mnayotupigia nayo kelele kutwa nzima humu JF, kuwafunga wale ma fatherhood Madrid mnajiona Mmefika sana ?? Sasa subirini kivumbi cha Inter kiwashukie Mtatafutan hiyo siku
Morinho kamrengeneza nani?Kwahiyo tukimpa tot atabeba ubingwa?? Alaf pep hajatengeneza mchezaj yoyote,hao wote kawachukua wapo kwenye form zaoo
Sasa haya si maneno yako tu? Ambatanisha hapa valid statements toka kwenye official website source nikubaliane nawe, mbali na hapo ni porojo tupu.●Sababu ya Pep kuondoka Barça:
Ngoja kwanza nikupe sababu ya Pep kuondoka Barça. Baada ya Barça kutolewa na Chelsea kwenye UEFA msimu wa 2011/2012, Pep alitangaza kuwa ataondoka Barça mwishoni mwa msimu huo. Hivyo kusema Mou ndiye aliyemfukuzisha kazi sio sahihi kabisa.
Tuanze sasa historia nzuri kati ya Pep na Mou pale Spain
[emoji830]︎RMA walimsajili Mourinho mwaka 2010
[emoji830]︎Pep akaondoka Barça 2012
Tupitie rekodi zao za misimu miwili waliyokutana 2010/2011 na 2011/2012
●MSIMU WA 2010/2011 (Pep vs Mou)
(1)Walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye la liga RMA alilamba goli 5-0 pale Camp Noú msimu huo Barça wakabeba kombe la La Liga
(2)Kwenye semi final ya UEFA wakakutana Barça na RMA. Barça akamtoa RMA kwa aggregate ya 3-1, Barça akanyanyua UEFA msimu huo.
(3)Mwaka huo RMA chini ya Mou waliambulia Copa del Rey tu
●MSIMU WA 2011/2012 (Pep vs Mou)
(1)Barça na RMA walikutana kwenye Spanish Super Cup. Barça wakashinda 5-4 in aggregate
(2)Msimu huu Barça chini ya Pep walishinda kombe la Copa del Rey na Spanish Super Cup
(3)RMA walinyanyua kombe la La Liga
Kwa takwimu hizo ni nani alikuwa bora Pep au Mou?
Moriminyoo kafundisha Manu miaka mingapi na alichukua URFA ngapi?Wewe ndio mpuuzi huyo kocha wakat anakuja city akina Robert Mancini walishabeba sana vikombe vya epl nakina aguero, yaya toure, ishu yaman city ni uefa tu miaka yote saba hapo city hana uefa katumia mapesa kibao kununua wachezaj kitu ambacho angekua chelsea enz abramovic angeshafukuzwa kocha gan hana uefa nje yamessi
Misim miwil kachukua uropa ila pep miaka 8 hana kombe lakimataifa pale cityMoriminyoo kafundisha Manu miaka mingapi na alichukua URFA ngapi?
Yuropa ile ya maluza??Misim miwil kachukua uropa ila pep miaka 8 hana kombe lakimataifa pale city
Kuifanya EPL kuwa league ya team 1