Ni kama scolari alivyoamua kumuacha romario WC ya 2002 na kumchukua dinho nchini kwake watu walisema sana ili mwisho wa siku kombe akalibeba
Kocha anatakiwa awe na misimamo yake
Mkuu Pep mpaka anastaafu atakua amevunja rekodi zote zilizowahi kuwekwa na makocha wote kuwahi kufundisha.Hata PSG nao wamefanikiwa hilo huko France
Kuchukua EPL mara tatu mfululizo
Kuifanya EPL kuwa league ya team 1
Mkuu Pep mpaka anastaafu atakua amevunja rekodi zote zilizowahi kuwekwa na makocha wote kuwahi kufundisha.
Utalinganisha EPL. Na France league 1Hata PSG nao wamefanikiwa hilo huko France
Sasa ulitaka afanye maana kila kocha unasema Hana jipyasasa hapo cha ajabu ni nini? kwani Fergie hakuwapa Man Utd mara 3 mfululizo? PSG ameshinda ngapo mfululizo france? Conte hakuwapa Juve 3 mfululizo? Zidane hakuipa madrid Champion league 3 mfululizo?
Utalinganisha EPL. Na France league 1
Your very special stupid
Mbona wachezaji wenyewe walikuwa wa bei za kawaida tu.?Alisajili wachezaji 13
1. Mario Gotze - €37 million
2. Thiago Alcantara - €25 million
3. Juan Bernat - €10 million
4. Pepe Reina - €3 million
5. Medhi Benatia - €28 million
6. Xabi Alonso - €9 million
7. Sinan Kurt - €3 million
8. Douglas Costa - €30 million
9. Sven Ulreich - €3.5 million
10. Joshua Kimmich - €8.5 million
11. Arturo Vidal - €37.5 million
12. Kingsley Coman - €7 million
13. Serdar Tasci - €2.5 million
Kwa wachezaji hawa alikaa misimu mitatu 2013 Hadi 2016 akachukua vikombe almost vyote Bundesliga na Uefa alikuwa anatokea hatua za mtoano.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Baadhi ya Wabrazili waliandamana kumpinga lakini mzee Scolari akabaki na maamuzi magumu kama kocha lakini ya uhakika wakanyanyua WCNi kama scolari alivyoamua kumuacha romario WC ya 2002 na kumchukua dinho nchini kwake watu walisema sana ili mwisho wa siku kombe akalibeba
Kocha anatakiwa awe na misimamo yake
Basi kumbe haufuatilii hayo ni matukio makubwa ambayo anayefuatilia soka anayakumbukaSasa haya si maneno yako tu? Ambatanisha hapa valid statements toka kwenye official website source nikubaliane nawe, mbali na hapo ni porojo tupu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyo Mourinho kasajili kwapesa nyingi sana alipokua Madrid. Nenda kaangalie alipata niniBudget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Kaangalie toka pep ameenda city katumia kiasi gani, alafu angalia na man utd wametumia kiasi gani. Ukimaliza njoo tujadili hapaSijamponda, nimeongea uhalisia mkuu. Ni kweli ligi zote kuna giants ila pamoja na uwezo wake mkubwa, Pep budget yake pia sio ndogo, ili achukue UCL pale city, ametumia $$$ nyingi mno.
Acha uongo. pep kabeba ucl akiwa Barca 2009, na akabeba club world cup mwaka huohuo 2009 decFifa club world cup alibeba akiwa na klabu zipi na miaka gani?
Una mahaba hadi unaongeza chumvi [emoji16]
Kabeba mara 2 tu akiwa na Barcelona aliyoikuta ilitoka kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE chini ya Rijkard.
Mahaba yatakuua wewe Mwa-City [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama yeye noma aende tot/man uPep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Pep hakuwahi kufukuzwa sehemu yoyote.Jose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.
Pep anamuheshimu sana Mourinho kwenye mechi za mtoano na anamwelewa vyema sana kuwa Special One huwa hacheki na kima akiwa kwenye hatua hizo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapo unapingana na wanaosema anategemea wachezaji Bora na wenye majinaPep nilianza kumchukia akiwa Barca kwa ishu ya Yaya Toure, akaja kurikera tena kwa ishu ya Ronaldinho akamalizia kunitibua nafsi alivyozinguana na Et'oo.
Alivyohamia Mancity akanitibua tena kwa bifu lake na Yaya Toure, ila yote kwa yote hata umchukie Guardiola kwa kiasi gani ila ni lazima umkubali kimoyomoyo na umpe heshima yake kama kocha bora zaidi duniani kwa sasa. View attachment 2632121
Hata foden?? Acha basi utaniKwahiyo tukimpa tot atabeba ubingwa?? Alaf pep hajatengeneza mchezaj yoyote,hao wote kawachukua wapo kwenye form zaoo
fainali2 za uefaKwani Man City wamefanikiwa nini mpaka sasa?