Tungemchukia hata ferguson ambae alisema wazi kua hapendi kufanya kazi na waafrica
Sio etoo wala yaya toure bali ni uhalisia Pep ni wa kawaidaa sanaaaa.
Una hangaika bure huyo jamaa ni mweupe kwenye football anaongea mashudu tuMnajidanganya kusema pep wa kawaida...huyo mjamaa anajua mpira na anajua maana halisi ya mpira kuwa burudani.
Mtu yoyote anaesema pep wa kawaida hajui lolote kuhusu football tactics.
Umemaliza kila kituKabla Pep hajaenda Man City nilikuwa nina mawazo kama ya huyu jamaa.
Baada ya Pep kujoin City, akachukua Ubingwa kwa points 100 msimu wa 2017/18 nikabadili mtazamo, nikasema ngoja nione nini atafanya msimu unaofata.
Alipata upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwa Liverpool msimu wa 2018/19, lakini alipambana mpaka akawa bingwa kwa points 98, akimwacha Liverpool kwa point 1 tu.
Kwa mara ya kwanza timu inakusanya points 198 EPL ndani ya misimu miwili, ligi tunayoiamini kwa ushindani.
Kwa mara ya kwanza timu inamaliza na points 97 na haiwi bingwa (kisa Pep).
Pep alimaliza ligi y 2017/18 akiwa na points 100 na magoli zaidi ya 100. All EPL records.
Kwa vipimo hivyo nilivyovieleza hapo juu, Pep kwangu ni kocha bora, nadhani naweza kumweka kwenye top 3 kwa makocha walioko sasa.
Tungemchukia hata ferguson ambae alisema wazi kua hapendi kufanya kazi na waafrica
Sio etoo wala yaya toure bali ni uhalisia Pep ni wa kawaidaa sanaaaa.
Farmer leagueView attachment 1493749
Hayo makombe kachukua ndani ya msimu mmoja
Wewe unajua nakuonaga skysport pinga kwa hoja kakaUna hangaika bure huyo jamaa ni mweupe kwenye football anaongea mashudu tu
Hoja zipi unataka zaidi ya hizo post no 42? Wewe kwako kocha bora ni yupi?Wewe unajua nakuonaga skysport pinga kwa hoja kaka
kocha bora walio activeHoja zipi unataka zaidi ya hizo post no 42? Wewe kwako kocha bora ni yupi?
Hujielewi mkuuFarmer league
Kocha wa kutegemea utajiri wa club.Mnajidanganya kusema pep wa kawaida...huyo mjamaa anajua mpira na anajua maana halisi ya mpira kuwa burudani.
Mtu yoyote anaesema pep wa kawaida hajui lolote kuhusu football tactics.
Kocha wa kutegemea utajiri wa club.
Nuno Espirito Santo ndie kocha bora kuliko wote EPL.Yaani wee kweli hujui mpira.
Money can procure u the best players in the world but it cant forge the spirit or mastermind the tactics required to be champions yet alone produce football that easy on the eye.
Pep anaujua mpira anaweza kubadili mbinu na pia akaja na totaly new way of looking at ways of solving a tactical problem....sasa ili ujue hilo inabidi uelewe tactics za mpira wenyewe kwanza kitu ambacho nadhani wewe bado hujamaster.
Last but not least...ili kuwa entrusted na expensive players means wee mwenyewe tayari umeshaonyesha uwezo wakumanage such players and those are the benefits za kuwa kocha mzuri....utaenda kwenye club ambazo zina financial muscle ya kuweza kununua wachezaji wazuri but thats as far as money goes and where a coaches job begins.
Achana na maneno yenu ya vibanda umiza...nunua vitabu ya football soma uelewe mchezo wenyewe ndio uje na comments za maana.
Pep is a tactical genius period!
Yani unachukua kombe na barca alafu unajiita bora?Kufungwa kwa pep sasa hakuondoi ubora wake. Pep ashathibitisha ubora wake akiwa pale barca, je ile barca ilikuwa ya bajeti kubwa? Mafanikio anayopata klop sasa Pep ashayapata tena zaidi. Je klop akianza kuyumba hapo baadae kama akina Morinyo au wenger walivyoyumba hatatambulika kuwa mmoja wapo wa kocha bora kuwahi kutokea?
Nuno Espirito Santo ndie kocha bora kuliko wote EPL.
Achana na Pep mpenda pesa. Kwa resources alizonazo hata wewe hapo ukiicoach City utapata mafanikio. Aende akaiiinue Newcastle with minimum budget ndio utamjua kama ni coach bora ama mpenda utajiri.
Kweli bt Mou ameikuta Chelsea ikiwa ya NNE kwa ubora hapo EPL..Burnley siyo ya NNE ipo mbali sana umekosea kufananisha kubali hilo tu...Kushiriki UEFA sio kipimo mkuu kumbuka Leiceister kashaenda tena akiwa bingwa Nothengham forest alibeba kabisa huko UEFA mpaka vitimu vibovu vibovu vinaendaga vikiamka na bahati... kipimo cha ubora wa timu ni dominance ,fan base, history mataji na brand EPL timu kubwa ni Liverpool ,Manchester United,Arsenal respectively.
Timu ndogo zipi?Yani unachukua kombe na barca alafu unajiita bora?
Awaige akina klopp, mourinho waliokuwa na timu ndogo na wakabeba makombe.
Ah kweli nimejua wee huijui hii profession kabisa.....huyo nuno nae akiendelea na kzi yake nzuri ataenda kwenye timu yenye hela...je nae wakatio huo utasema kuwa nae ni mtu wa hela.
Hiyo ni nature ya industry...mzuri will always ascend and u always make ur mark na timu zenye low budget. Mourinho made is name na porto with sijui 20 percent ya budget ya man utd ndio mpaka anawatoa pale old trafford.
Ukiangalia na kufuatilia kazi ya pep mdio utaona kuwa huyu jamaa anajua na ontop of that ameongeza a new way to view tactics...hiyo tatctical insight and acumen ndio inamfanya kuwa kocha mzuri.
Yes it goes without saying kuwa u need quality players kuleta tactical revolution but u have to admire how he brings his ideas into life kwa kupitia hao wachezaji.
U cant implement novel tactical ideas with utopolo players ...hilo haliwezekani ata siku moja. U need quality players to come up na great teams
Mwisho kabisa...usidharau profession za watu kwa kusema kuwa eti ata mie ningepewa barca ningefundisha....trust me managing players ambao wanalipwa more than u the boss sio kitu kirahisi...kuna skills ambazo lazima uwe nazo, motovating them and gettingbthem to buy into ur ideas ni kitu kigumu sana.