Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Nuno Espirito Santo ndie kocha bora kuliko wote EPL.
Achana na Pep mpenda pesa. Kwa resources alizonazo hata wewe hapo ukiicoach City utapata mafanikio. Aende akaiiinue Newcastle with minimum budget ndio utamjua kama ni coach bora ama mpenda utajiri.
Unajua kuwa wolves wametumia kiasi kikuwa cha fedha mpaka kufika hapo walipo?
 
Unajua kuwa wolves wametumia kiasi kikuwa cha fedha mpaka kufika hapo walipo?
Kiasi gani tuambie sisi hatukujui ila tunachojua wolves ni timu yanye bajet ndogo sana ya usajiri
 
Kiasi gani tuambie sisi hatukujui ila tunachojua wolves ni timu yanye bajet ndogo sana ya usajiri
Ilinunuliwa na billionea wakichina wakiwa na lengo la kupanda ligi kuu ikamsign nuno santo kutoka porto... wakamsajili diogo jota kutoka atletico madrid ruben neves ambaye liverpool ilikuwa inamtaka, benik afobe ambaye akawa top score wa championship
Baada yakupanda wakasajili wachezaji wengine wakubwa
 
Na wako kwenye nafasi nzuri ya kuingia Top 4 wacheze UEFA msimu ujao.

Wakiikosa UEFA, Europa iko almost secured.
 
Hupo Pepsi ni mtegemea utajiri wa club. Akafanye maajabu ya akina Nuno Espirito with limited budget ndio utajua ni kocha ama mpenda utajiri.
Hata pale Barcelona, aliikuta timu imeshasukwa na Frank Rijkaard. Yeye akapata credit za kudandia basi. Baada ya matunda ya Rijkaard kuanza kufutika akakimbilia Bayern then ManCity
 
Go east
Go west
Pepsi is just a mediocre coach!
A pig is just a pig even when you put a lipstick on its lips
 
The way rijkaard's team and the way peps team played ni tofauti kabisa albeit the majority of the players played under both managers.
 
Ukishakuwa bora tu, wenye pesa watakutafuta. Hivi ulitegemea kwa kiwango kile cha samatta aende kucheza simba au yanga??
Kwa kiwango cha Pep hata akitoka happ City, basi kuna timu kubwa zitaweka mzigo wa maana mezani kama PSG, Juve, Barca, Man utd, Bayern, Spain national team n.k
Hata huyu huyo nuno usitegemee kwa kiwango alichonacho ataenda timu ya kawaida baada ya hapo
Swalk la kujiuliza kwa nn timu kubwa na zenye pesa zinamuhitaji sana PEP? Kwa nn isiwe kwa makocha wengine?
We unahisi timu kama PSG au Madrid watamuhitaji david moyes??
Nuno Espirito Santo ndie kocha bora kuliko wote EPL.
Achana na Pep mpenda pesa. Kwa resources alizonazo hata wewe hapo ukiicoach City utapata mafanikio. Aende akaiiinue Newcastle with minimum budget ndio utamjua kama ni coach bora ama mpenda utajiri.
 
Kuna kitu nadhani hukifahamu
Pep aliingia barca akakuta kuna utawala wa Ronaldinho, Deco na Etoo, akauvunja akatengeneza wake wa Messi, Xavi na Iniesta bila gharama yoyote.
Pep wakati anafika aliwaondoa/aliwauza jumla ya wachezaji 12 , sasa unasemaje tena alikuta timu imeshasukwa na rijkaard?
Na kama Rijkaard alikuwa na ubora huo imekuwaje kashindwa kusuka timu nyingine baada ya kutoka barca?
 
Sio kweli, ni wachezaji wachache sana pep aliwabakiza, wengi iwatengeneza yeye pale barca
The way rijkaard's team and the way peps team played ni tofauti kabisa albeit the majority of the players played under both managers.
 
Yani unachukua kombe na barca alafu unajiita bora?

Awaige akina klopp, mourinho waliokuwa na timu ndogo na wakabeba makombe.
kwa hoja hii ya kipumbavu , kina Uchebe, Mkwassa n.k ni makocha bora kabisa maana bajeti zao huwa ndogo kulinganisja na kina Mou
 
Vp bado umeshikilia msimamo wako??? Lete report
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…