Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

usidandie ushabiki maandazi. Ifuatilie Barca kwa undani na utaelewa naongea nini
 
huo ni mtazamo wako. You are entitled to your own opinion
 
Pepsi ni utajiri wa vilabu ndio unaficha udhaifu wake. Ila ni kocha wa kawaida sana
 
Pepsi ni utajiri wa vilabu ndio unaficha udhaifu wake. Ila ni kocha wa kawaida sana
Wa kawaidaaa mnoooo yani ukitaka kujua we angalia akicheza na nuno yani hana ujanja anawekwaaa tuuh.. Sasa asume timu ya nuno ndio apewe pepsi na ya pepsi apewe nuno alaf wakutane si atapigwa hadi achakae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora useme morinho ni kocha wa kawaida
Morinhol ni kocha kuliko pepsi ila kinacho muangusha mou ni majivuno na kiburi chake ...ambacho kiba pelekea kushindwa kuisho vyema na wachezaji ila mou > pepsi

Mtafute mou alie kua na uchubna mafanikio wakati hajayapata mou alie nyenyekea na kuishi vizuri na wachezaji wake bro achaa wale wakina cambiasso waliupiga sanaaaa ... !
 
hehehe Gadiola alisoma post yako akasema ngoja nikuonyeshe
Angenionesha game ya kwanza wakati liverpool bado hawajatangazwa kua mabingwa.. ile mechi ambayo kila mtu bado ana uchu ligi bado mbichi sio saivi liva kashakua bingwa kwanni ajichoshe ..

Angepata hata sare kama Ole tuu na ilimshinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arudi akaifundishe Barcelona na kuisuka upya.
Aliekuwa akimfichia aibu (Messi) keshaanza kuzeeka. Xavi hayupo. Iniesta hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…