Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Naomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa hukumu judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo au watakao ingia mbinguni ni watu wenye sifa zipi..?
Mhubiri 7:20
[20]Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.
Mhubiri 7:20
[20]Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.