1Corintian 6:9-11 Do you not know that the unrighteous will not inherit the kingdom of God? Do not be deceived. Neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor [
a]homosexuals, nor [
b]sodomites, 10 nor thieves, nor covetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners will inherit the kingdom of God. 11 And such were some of you. But you were washed, but you were [
c]sanctified, but you were justified in the name of the Lord Jesus and by the Spirit of our God
Kwamba mwanadamu atahukumiwa/tutahukumiwa kwa yale tulioambiwa tusiyafanye na hatukusikia,,lakini kibaya zaidi tumepewa njia rahisi ya kushinda dhambi kwa kumwamini YESU akae ndani yetu kwa nguvu ya ROHO MTAKATIFU ili tuweze kushinda dhambi na tuishi maisha yalio standard upendo,utu wema,ukarimu,nk lakini hatukutaka maisha hayo tukabaki tukiishi kwa nguvu na akili zetu ambazo haziwezi kushinda dhambi.
Kwa hio tutahukumiwa kwa makosa yote tulioambiwa tusifanye, wizi, kuuwa,, kulala na wake wa wenzetu,,uchawi wote,,fitna,, majungu,,wivu,, ulafi,, ulevi,,dhulma,,utapeli,,kutoa mimba,, ushoga,, ufiraji,,kuabudu vinyago,,kwenda kwa waganga wa kienyeji,,upagani,,kubadili jinsia na kumkashfu ROHO MTAKATIFU,,NK NK
MWISHO KABISA
ZABURI 16:3 Watakatifu walioko duniani ndio ninaopendezwa nao.
Pamoja na binadamu kutokuwa mkamilifu iko njia ya wale walioamini kutenda dhambi na kujitakasa kwa damu ya YESU na kumaintain ile hali ya kuwa mtakatifu. Kwa hio wapo watakatifu duniani na yeyote mwenye kutaka kuwa mtakatifu anaweza akaamua kuacha njia alio nayo na Kumfuata YESU ambae ni njia pia ilio sahihi zaidi.