Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Pepo ipi unazungumzia? Kama ni hizi wanazohubiri makanisan na misikitin basi usijichoshe kuzingojea, maana zimejawa uongo mtupu, kila mtu anaeleza lake.
Kwa mujibu wa Quran mtu anatakiwa kuwa mfuasi mzuri wa dini na sharia za uislam ikiwepo kumuabudu Mungu wao mmoja tu ambaye ni Allah pekee na ambaye mtume wake wa mwisho dunian ni Muhammad, na pepo ya hii dini ina utofaut na pepo ya dini zingine,
Pepo kwa mujibu wa biblia&ukristo hawa wanadai umkubali yesu kristo kuwa bwana na mwokozi sijui wa maisha yako, at the same time huyu huyu yesu nae ni Mungu pia, sasa sijui inakuwaje kwa wale wasiomkubali[emoji23][emoji23].
Itoshe kusema peponi, mbingun na motoni hakupo kama dini zinavyoeleza, haya mastori yalitungwa na wazungu kwa sababu za kuwatisha watu wawe na maadili kulingana na matakwa ya serikali, pia kuwafanya watu kuwa watumwa wa serikali zilizokuwa zikiongozwa na kanisa.
sheria nyingi za kinchi zilitoka kwa watawala waliogemea upande wa dini kwa kutunga sheria zinazowapendeza na kuzipitisha katika dini ili kuwafanya watu wajawe hofu na utii kwa serikali kwa kuwajaza sumu kuwa Mungu ndie anawataka wawe hivyo, kumbe ni sababu za kibinadamu za kuwahadaa raia.
Hata zile amri 10 zilitungwa tu na wanasheria wa kiserikali kwa niaba ya wanadini ili kulinda maadili ya wananchi na kucontrol mienendo yao, kupitia vitisho vya kidini na hukumu ya motoni kwa wale watakao vunja sheria hizo.
kwan nje ya dini ni nani ambaye hajui kuiba si tabia njema? Kuua si vizuri? Kuwatii na kuwafuata viongozi ambao si viongoz wa nchini mwako kwakisingizio cha usiabudu miungu mingine (usiwatumikie viongoz nje ya nchi yako), pia kutamani mali zisizo zako na kutofanya zinaa hovyo kwani nani asiyejua ni vibaya kwa mujibu wa maadili ya kijamii nje ya dini? Hata sheria za nchi zinawataka raia kuwa na maadili lkn unadhani je kwanini dini ikaja kukazia hizo sheria kwa kuziita amri? Sababu kuu ni kuweka hofu na utii wa lazima wa sheria za nchi kwa kuziita sheria za Mungu, hivyo mtu akizivunja anaweza ukwepa mkono wa sheria za nchi lkn hawezi kwepa hukumu ya moto wa milele huko kuzimu baada ya kifo[emoji23][emoji23][emoji23] HAVE YOU SEEN THE TRUTH HERE?.
na hivyo ndivyo hata wakoloni walifanikiwa kuitawala Afrika kupitia dini kwa hizo stori zao za kizushi.
Mbingu na jehanamu ya moto haipo, hizi hadithi kabla ya kutungwa na watu weupe walicopy stori za mababu wa kiafrika waliotumia sheria hizo kama tabia za kijamii, wao wakazibadili huko kwao na kuita ni sheria za Mungu kwa wanadamu, baada ya kuona waafrika waliweza kuishi vizuri ktk jamii zao kwa maadili mema pasipo uhitaji wa magereza na mapambano ya maovu ya wananchi wao, hivyo wakacopy mienendo ya waafrika na kuintroduce ktk vitabu vyao vya dini zao na kuzipeleka kwa raia na kuita hiyo mienendo hiyo ni sheria ambazo ni takwa la kila raia anaeamini Mungu kuzishika, hapo ndipo wakaanza kucontrol tabia za wananchi wao, UNATAKIWA UJUE KUWA, HAPO KABLA MTU WA AFRIKA ALIONEKANA KAMA MUNGU, maana watu wa afrika walitimia kila nafasi kuanzia maadili, maendeleo, elimu na ushawishi dunian, the same leo mnavyowaona hao wazungu na watu weupe kiujumla[emoji16].