Subiria kiama scars si tupo utalia na kusaga meno mrudie Muumba wakoTatizo mnataka kupewa majibu mnayoyapenda au yale yanayowafurahisha.
Peponi hakupo, jehanamu nako hakupo kwasababu anayehusishwa na uwepo wa hivyo vitu (Mungu) naye hayupo.
Jifunzeni kuukubali uhalisia.
Penye neno "subiria" ndipo mahali uongo ulipofichwaSubiria kiama scars si tupo utalia na kusaga meno mrudie Muumba wako
Basi tuseme subiri ufe ndo utakapojua km Mungu yupo au hayupo, jehannam na pepo vipo au havipo...najua huwezi kukataa kwamba lazima ufe.japo unaweza kukataa uwepo wa siku ya kiama (ufufuo)....ukishakufa tu utajua uhakika wa haya unayoyakanusha.Penye neno "subiria" ndipo mahali uongo ulipofichwa
We uliyajuaje hayo yapo bila kufa?Basi tuseme subiri ufe ndo utakapojua km Mungu yupo au hayupo, jehannam na pepo vipo au havipo...najua huwezi kukataa kwamba lazima ufe.japo unaweza kukataa uwepo wa siku ya kiama (ufufuo)....ukishakufa tu utajua uhakika wa haya unayoyakanusha.
Wewe bado dogo kiimani kuzimu IPO? Na ina vyumba 351 kwa ajili ya watenda dhambi .Tatizo mnataka kupewa majibu mnayoyapenda au yale yanayowafurahisha.
Peponi hakupo, jehanamu nako hakupo kwasababu anayehusishwa na uwepo wa hivyo vitu (Mungu) naye hayupo.
Jifunzeni kuukubali uhalisia.
Zaliwa kuliko kutupwa kwenye shimo LA jeWewe bado dogo kiimani kuzimu IPO? Na ina vyumba 351 kwa ajili ya watenda dhambi .
Mateso yake haelezeki ,Mimi nitakosa kila kitu duniani ila bora nimpate yesu .
Ilo ni lengo LA shetani usiamini .Mimi ninakwambia kwa experience ni bora usinge
Bila uthibitisho, hii ni hallucinations tuWewe bado dogo kiimani kuzimu IPO? Na ina vyumba 351 kwa ajili ya watenda dhambi .
Mateso yake haelezeki ,Mimi nitakosa kila kitu duniani ila bora nimpate yesu .
Ilo ni lengo LA shetani usiamini .Mimi ninakwambia kwa experience ni bora usinge
Zaliwa kuliko kutupwa kwenye shimo LA jehanamWewe bado dogo kiimani kuzimu IPO? Na ina vyumba 351 kwa ajili ya watenda dhambi .
Mateso yake haelezeki ,Mimi nitakosa kila kitu duniani ila bora nimpate yesu .
Ilo ni lengo LA shetani usiamini .Mimi ninakwambia kwa experience ni bora usinge
NaiBasi tuseme subiri ufe ndo utakapojua km Mungu yupo au hayupo, jehannam na pepo vipo au havipo...najua huwezi kukataa kwamba lazima ufe.japo unaweza kukataa uwepo wa siku ya kiama (ufufuo)....ukishakufa tu utajua uhakika wa haya unayoyakanusha.
Bila uthibitisho, hii ni hallucinations tu
Pia mngepinga tu sababu kuna Mawatu ubishi ni vipaji.Tungempata mshikaji ambaye aliwahi kufa na kwenda huko peponi na mbinguni angetupa majibu.
Waliokombolewa tu.wataiona mbinguNaomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa huku judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo watakao ingia mbinguni ni watu wenye sifa zipi..?
Mhubiri 7:20
[20]Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.

ungempa majibu badala ya vitisho.Subiria kiama scars si tupo utalia na kusaga meno mrudie Muumba wako