Pepsi ina nini?

Mimi ni mgonjwa wa pepsi..hasa ya chupa..ile soda ni tamu sana
 
Kwani tumboni kuna jiko itachemka?imetengenezwa ili inywewe sio ichemshwee,,hata we ukichukua nguo yako uichome moto lazima iharibikee
 
Hahaaaa, kumbe mateja wa Pepsi tuko wengi?! Hata mie naipenda ila kuepuka kujaza sukari mwilini huwa nazimua na maji au ice cubes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…