Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda .
Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi kuzipenda tu ikafika kipindi ikawa ni Ngumu kupitisha siku 2
Hivi hizi soda zina addiction?
live on the coke side of life
Dare for more
Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi kuzipenda tu ikafika kipindi ikawa ni Ngumu kupitisha siku 2
Hivi hizi soda zina addiction?