Pepsi Vs Cocacola, hivi hizi soda zina addiction?

Pepsi Vs Cocacola, hivi hizi soda zina addiction?

Halafu Pepsi mara nyingi wanakunywa wanawake
Wanaume tunaondoka na Coca-Cola
 
Kila siku hakika tunajifunza, Hivi kumbe kuna watu ni walevi wa soda,,,,,,,?😎
 
Kila siku hakika tunajifunza, Hivi kumbe kuna watu ni walevi wa soda,,,,,,,?😎
kwenye ulevi wa soda tupo, mimi na peps kunitaenganisha ni ngumu, Hata mama yoyo akizingua akitaka kurejesha aman anatanguliza peps kwanza hapo tunaweza kuongea
 
Ndio soda ina addiction kama energy tu ukinywa soda utapata hamu ya kunywa tena na tena ukitaka ukate addiction anza kuongeza maji ktk soda. Kama hujui ilo ujue sasa soda ina urahibu kama sigara tu
 
Back
Top Bottom