mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ndio.Hivi hizi soda zina addiction?
Mwili wako unatambua kwamba vyakula vyenye mafuta mengi au sukari nyingi vina nishati nyingi.
Kipindi unaishi porini zamani ukiwa jamii ya sokwe, ubongo wako ulikuwa unatumia kichochezi cha dopamine ambacho kinakupa hisia za msukumo na furaha kukuhimiza ule vyakula vya namna hiyo ili upate nishati ya kutosha kuishi kwasababu uhakika wa chakula ulikuwa mdogo.
Sasa huo ubongo wako wa kisokwe wa zamani, ndo huu huu haujabadilika sana.
Na pia isitoshe coke na pepsi zina caffeine ambayo inafanya kazi kama mhadarati...