Pepsi Vs Cocacola, hivi hizi soda zina addiction?

Pepsi Vs Cocacola, hivi hizi soda zina addiction?

Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda .

Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi kuzipenda tu ikafika kipindi ikawa ni Ngumu kupitisha siku 2

Hivi hizi soda zina addiction?

View attachment 3167457live on the coke side of life View attachment 3167458Dare for more
Kwa akili yangu mbovu zina coca leaves ambazo zina cocaine ndani yake au kikemia zinaitwa...Erythroxylum....yaani zina uraibu kama unavyomla mwanamke ndogo halafu anajua kulia vizuri,,,,,anyway nisha acha uhuni 😊
 
hamnaga addiction, ni kujiendekeza kwa watu tu,....niliacha kutumia hivyo vinywaji baada ya kuona vinavyoharibu sana MENO,...ni high risk...
 
Kwa coca sina la kusema..
Ila pepsi ina addiction mbaya sana hasa ile ya bareeeeeeee3d...
Ukinywa pepsi mara kadhaa basi itafika muda utakua huwezi kufanya ishu zako zingine mpaka uipige ile kwanza hasa ule muda ulioipiga ya mwisho ukifiia.

Ukimaliza kugonga supu ya moto unajikuta unatamani kumaliza menu na pepsi ya barid sana.

Kiufupi wapenda peps huwa hawawez kunywa soda nyingine yeyote ile na inaweza kufika mahal ukajikuta unapiga hata mbili mpaka tatu kwa siku.

Vinafsi namshukuru MUNGU niliamua kuachana nayo kabisa maana nilikua addicted sana na hiyo kitu,sasa hiv nina mwezi 1 na wiki 3,nafikir nikikaza mpaka mwaka uishe huu nitakua nimeachana na haya masoda kabisa,yan situmii soda yeyote sasa.
 
Kwa akili yangu mbovu zina coca leaves ambazo zina cocaine ndani yake au kikemia zinaitwa...Erythroxylum....yaani zina uraibu kama unavyomla mwanamke ndogo halafu anajua kulia vizuri,,,,,anyway nisha acha uhuni 😊
🤣🤣🤣 Source ya information yako ni ipi ?
 
Nimemsikia mtaalamu wa tiba leo akisema SUGAR ina addiction mbali na coke. Huu ni ukweli japo tutafiti zaidi
Watoto wakopewa pipi wanapata addiction ya sukari hivyo hupendelea kununua vitu vya sukari.
Ukimwekea mtoto mshikaki na biskuti atachagua biskutj
Dokta kashauri tusiiwslishe watoto sukari hasa wale chini ya miezi 6. Madakrari wa Afya wanaweza kutufunza zaidi. Nawaamini sana madaktari japo mda mwingine huwa wanatofautiana mtazamo
 
Vinywaje vyene Caffeine vinaweza kukupa addiction ukivitumiq mara kwa mara,

Labada useme coffee au hizi energy drink?

Addiction zingine ni tabia zako na mtindo wako wa maisha wa kukirudia rudia
 
Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda .

Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi kuzipenda tu ikafika kipindi ikawa ni Ngumu kupitisha siku 2

Hivi hizi soda zina addiction?

View attachment 3167457live on the coke side of life View attachment 3167458Dare for more
Nimefanya kazi kama market research kwa product nyingi apa tz kuna kitu kinaitwa consumer taste preferences hivyo hapo ndo utoa majibu mlaji jinsia ipi, umri upi upendelea radha ipi ya kinywaji na kwa wakati gani mfano kidogo bidhaa ya mirinda inapigwa haswa dar kuliko vinywaji vingine , nakumbuka fursana nayo ilikuwa inakuja juu ila ilikalishwa
 
Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda .

Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi kuzipenda tu ikafika kipindi ikawa ni Ngumu kupitisha siku 2

Hivi hizi soda zina addiction?

View attachment 3167457live on the coke side of life View attachment 3167458Dare for more
Addiction ni vitu kama alcohol( kwangu Mimi).
Kuna kipindi ilikuwa nawaza pombe Kali labda Konyagi au Kvant au Valuer.... Mate yanaanza kutoka mdomoni....
 
Back
Top Bottom