Pepsi Vs Cocacola, hivi hizi soda zina addiction?

Hivi hizi soda zina addiction?
Ndio.

Mwili wako unatambua kwamba vyakula vyenye mafuta mengi au sukari nyingi vina nishati nyingi.

Kipindi unaishi porini zamani ukiwa jamii ya sokwe, ubongo wako ulikuwa unatumia kichochezi cha dopamine ambacho kinakupa hisia za msukumo na furaha kukuhimiza ule vyakula vya namna hiyo ili upate nishati ya kutosha kuishi kwasababu uhakika wa chakula ulikuwa mdogo.

Sasa huo ubongo wako wa kisokwe wa zamani, ndo huu huu haujabadilika sana.

Na pia isitoshe coke na pepsi zina caffeine ambayo inafanya kazi kama mhadarati...
 
Zote hizo ni products za Marekani!

Pata picha wewe Mtanzania kila kona ya dunia utapokanyaga mguu unakutana na bidhaa zilioanzia nchini kwako Tanzania.

How proud of your county would you be?

USA baby πŸ‡ΊπŸ‡Έ.
 
Zote hizo ni products za Marekani!

Pata picha wewe Mtanzania kila kona ya dunia utapokanyaga mguu unakutana na bidhaa zilioanzia nchini kwako Tanzania.

How proud of your county would you be?

USA baby πŸ‡ΊπŸ‡Έ.
Halafu ulikaa chanjo zao
 
Mimi pia najikuta nakunywa hata 3 Kwa siku Ila maranyingi nakunywa 2 nachopendea Pepsi haina sukari Nyingi pia inapenda inavonichoma kooni ikiwa baridi aiseee huwa
 
Kuna Caffein na Sukari ya kutosha humo ndio zina Addiction.
 
Hawazijui bia hawa.
Hasa upate baridi ikiwa ndio kwanza umetoka kazini, mhudumu anakuletea halafu anarudi anatembea kama twiga mfuko wa nyuma kaweka opener na simu.
Unakaa kidogo halafu unaita kwa sauti mtu wa jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…