Percy Muzi Tau awagomea Bafana Bafana kucheza mechi za kirafiki Ili kutunza nguvu za kuwaangamiza Simba tarehe 20/10/2023

Ahly wana huruma sana kama mpaka dk ya 40 washakupiga 5 hivi wangesema wa kaze si ulikua msiba wa goli 10 na kuendelea.
Dakika ya 69, tayari ilishakuwa Simba 5-0 Yanga.
Hivi Simba wangesema wakaze, si ulikua msiba mkubwa zaidi?

 
Al Ahyl walikuwa na huruma sana,

Ila nasikia Kwa sasa wamesema mambo ya huruma hawana tena

Sasa ni kipigo mwanzo mwisho
Hata Simba pia wana huruma sana maana walikua na uwezo wa kumpiga yanga 7 bila
 
Na hata baada ya draw ya makundi kuchezwa walipitia pitia historia ya wapinzani wao wakaziona zile 5 mlizofungwa na simba
Zile tano tano za kipindi kile ulivyopigwa na Al Ahly na As Vita naona inaandika loading.....
 
Kwani simba hawajawi kucheza na al ahly mkuu labda uwatishe utopolo ila ye mwenyewe anajua kama simba sio team ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…