Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mohamed Hussein alimlaza na viatu, leo tena kamasi limemtoka.

Pale Yanga anamuweka nani bench?

Kwa mwezi anakinga dola 100,000 kibindoni.

1698719298167.jpeg

 
Mpira hauwezi kukukubali siku zote,kwasababu timu yenyewe nzima inaonekana imechoka,kwamiaka ya hivi karibu Tau alikua sehemu ya mafanikio ya Al Ahly sasa utasemaje ni overrated.Ungesema ni overrated kama toka ameanza alikua hajachagiza mafanikio yoyote ya club.

Sasa kuchagiza mafanikio ya club kubwa kama hiyo sio kitu rahisi.Kacheza mamelod zaid ya misimu mitatu,al ahly zaidi ya misim miwili.Kabla yakufikiria Tau atachezaje yanga ulitakiwa uiangalie yanga nzima kama kuna mchezaji atakayeweza kucheza al ahly.
 
Back
Top Bottom