Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

Mohamed Hussein alimlaza na viatu, leo tena kamasi limemtoka.

Pale Yanga anamuweka nani bench?

Kwa mwezi anakinga dola 100,000 kibindoni.

Yanga nayo ni timu? kuanzia lini? Yaani kufika fainali kombe la losers baada ya kufurumishwa kwenye caf champions league ndo imekuwa nongwa!! hadi aibu!! Hii timu ya kufungwa na Ihefu timu iliyokuwa mkiani? Hata kama ni unazi basi ni unazi kichaa cha kupitiliza!!
 
Hana jipya labda apewe muda naona kule kwenye ligi ndiyo anakimbiza ila kimataifa bado wakawaida halafu mbona kama kazeeka hivi
 
percy tau sio mchezaji wa kawaida mwaka jana tu alipata offer ya kwenda hertha berlin ya ligi kuu germany kama umeangalia vizuri game za Ahly msimu ulioptia kwenye champions leauge yeye kwa asilimia kubwa ndio kaibeba Ahly mgongoni tu tofautisha kati ya mchezaji kuanza vibaya na mchezaji kuwa wakaida
 
Bado unamtetea
 
sidhani kama atabakishwa pale al ahly mwaka huu, either ameonyesha kiwango cha chini kabisa, au walijua ni hatari wakambana sana akashindwa kuonyesha vyake. binafsi nimeona wachezaji wenzake wamefanya vyema kuliko yeye kwenye haya mashindano.
 
Back
Top Bottom