Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

kuna mpira ulipigwa na mamelod na hawa jamaa, nikajiuliza mamelod wangecheza na simba wangefungwa hata 10. manake al ahly walionekana hawajui mpira kabisa.
Nilicheza live iyo game baada ya dakika 15 tu nikajua al ahly anafungwa nikamuwekea mzigo mamelod
 
Kwakuwa Tshabalala alimuweka mfukoni basi hana lolote [emoji23][emoji23]
Tanzania tuna safari ndefu kwenye soka
 
Jana alikuwa anarukaruka kama maharage sufuriani
 
Subiri siku mnacheza na wao uone ni overrated or not.
 
Mchezaji kacheza Mamelodi sundowns, Club brugge, Anderlecht, Brighton and Hove unasema yupo overrated huko kote kapita akiwa overrated?
Kama mchezaji katoka afrika akaenda ulaya halafu akarudi tena afrika huyo kiwango kinaporomoka kila muda unavyoenda
 
Class is permanent and form is temporary.
 
Ana andika shabiki amabe timu yake striker ni mzize imagine[emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom