Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

Mpira hauwezi kukukubali siku zote,kwasababu timu yenyewe nzima inaonekana imechoka,kwamiaka ya hivi karibu Tau alikua sehemu ya mafanikio ya Al Ahly sasa utasemaje ni overrated.Ungesema ni overrated kama toka ameanza alikua hajachagiza mafanikio yoyote ya club.

Sasa kuchagiza mafanikio ya club kubwa kama hiyo sio kitu rahisi.Kacheza mamelod zaid ya misimu mitatu,al ahly zaidi ya misim miwili.Kabla yakufikiria Tau atachezaje yanga ulitakiwa uiangalie yanga nzima kama kuna mchezaji atakayeweza kucheza al ahly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…