Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.
Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k
Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.
Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.
Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.