Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
 
HAWEZI UZA USWAHILINI,KAKANDIA HADI WATUMIA SIMU ZA TECNO ZA 70,000 YEYE SASA HIVI ANAJI ASSOCIATE NA WENYE HELA TU,ITAKUWA INAUZWA 300,000 NA BILA SHAKA ITAKUWA INANUKA KAMA KINYESI
 
Nadhani huna akili au unawaza kibaguzi sana. Nioneshe nlipozungumzia ualbino wa haji.au wewe ndo una mawazo hayo?jamaa hana mvuto ualbino wake mimi haunihusu.

Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.

Heri yako wewe mwenye mvuto.
 
Wewe mbwa jike una hasira na mimi sana...

Naona umekuja kujitetea... Hiyo perfume mtapakaa nyie na puppies wenu.

we mbwa una roho mbaya sijawahi iona kwa binadam!..😡😡
Mimi sio simba fan wala manara!
 
Back
Top Bottom