Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.

Heri yako wewe mwenye mvuto.
Usimlishe maneno mtoa mada, yeye ame'base kwenye ushabiki wa mpira. Anasema ana mdomo mchafu (kwa maana ya kuwapiga vijembe Yanga), hayo uliyokuja nayo una malengo yako probably.
Pamoja na yote hayo in jambo la busara wote kusapotiana katika biashara, ushabi wa mpira uishie kwenye mambo ya mpira tu.
 
NAWEKA KWA HERUFI KUBWA YULE NI ALBINO TAPELI LISENGE OPPORTUNIST WA HALI YA JUU. SUSIA UJINGA WAKE
 
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Itatoa harufu ya kikwapa cha mmiliki.
 
Itakuwa ni dawa ya kuulia kunguni!.. yeye anasema anauza perfume!
 
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
just brand
 
Eti siku hizi na yeye anasema'nalinda brand yangu'

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
huku akidhalilisha ya tecno,ningekluwa msemaji wa tecno au meneja wa tecno tanzania angefurahia jibu langu,ningemtengezea mazingira na majibu ambayao yangefanya masikini na mashabiki wa simba wanaoutumia simu za bei ndogo wamchukie milele
 
Kuanzia kwa Mwana FA, Ali Kiba, Diamond na sasa Haji, wote wanatumia tu.
 
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.

Funny, very funny!
 
Si yeye tu mbona hata ya Diamond watu wanaiponda eti inanukia kihasara hasara na uvundo wa Tandale.
 
Umenigusa hapo ulipotaja mbagala tu.
Tafadhal usirudie tena.
Mengine hayanihusu
 
Haji hajaenda Misri kabaki anauza dawa zake za mende au Delaboss perfume.
 
Watu bhana. Zile sio pafyum, ni sun screen lotion zinazozuia mionzi ya jua kwa watu wenye ualbino. Haji ameanzisha NGO inayosupport people with albism. Na sio biashara, kenge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani usingetukana usingeeleweka? Yeye Manara alisema pafyum wewe umekuja na yako ..tushike lipi? Nakuonea huruma unajibizana na kenge!
 
Haji hajaenda Misri kabaki anauza dawa zake za mende au Delaboss perfume.
Ameepuka aibu ya mwaka, wale kule wanaenda kumaliziwa upande uliobaki, kama As Vita walijaza mbele wale wanakwenda malizia nyuma
 
Back
Top Bottom