Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Bado Yves Saint Laurent La Nuit De L'homme ni bora ya zote - si kwa ajili ya kuvutia wanawake tu, bali kwa utanatashi wako wewe mwanamme.
 
Ogea, sabuni ya Family.. Paka mafuta yako ya baby care au rays.... Mfukoni uwe na Laki nne ambazo hazina kazi.... Then mtumie huyo mchuchu kwa mpesa 50,000/=...mwambie akukute paleeeee. Hii teknik hata lara1,miss chaga, atakuja tuu
 
mnajipea tabu na miperfume ya bei nzitonzito kisa kuvutia wadada ..
mimi najipigia mseto wangu wa copy zangu za body spray ya adidas victory league na nivea fresh active.. naacha kaelfu 10 kangu na mwezi mzima huyooo mihangaikoni .. nikibadili sana ntapiga copy ya blue for men na dolby ... swaaafi kabisa
 
Pesa ndo marashi, sabuni ya roho, maua na ndi zinaleta mvuto..
 
Kya kya kya.....Check na Talis au kama mfuko uko poa check signature...
 
Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa ina wavutia sana wakina dada ?

ha ha,usjali kuhusu perfume huwa wanazimika tu.kuwa real usitumie poda au cream.
watakupenda tu
 
Kuna sumu moja inaitwa PRADA ya kiume babu ila jiandae kuanzia laki tatu unusu, pia Yves Saint Laurent nayo ni sumu hiyo Nuit hiyo nayo ukiipata ni kuanzai alaki tatu flani ila ukipata kubwa na kadogo ka kukaa kwenye gari inakwenda kwenye mia tatu sitini flani, ila mzee sumu za kuua hao wadudu zipo kibao in fact ukishaona sumu ipo over laki tano ujue inawamaliza although inategemeana na Kijasho chako mzee.

Mkuu tutajie za chini ya elfu 50 au laki.
 
Back
Top Bottom