Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
Laki hamsini kwa hela ya bongo ni shilingi gani!
Laki hamsini = laki ziwe hamsini
=100000x50
=5,000,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki hamsini kwa hela ya bongo ni shilingi gani!
Ya oxford street upande karibu na Tottenham court road.
Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!
Kuna moja umeiruka.......hiyo nikipishana na wewe.........lazima nikufuate na lazima u u u u u u...............
Channel au?
Chastity.
Knowledge.
Mi huwa nanunua ya whiterose Leeds.......japo pia hiyo yako naifahamu.....lakini zaidi sana duty free shops..........
Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!
Na mjanja hanunui unyunyu bongo.........
Siku ingine tembelea designer outlets vitu bei chee! Zipo Swindon,bicester village,gunwharf quay Portsmouth etc
Kwa mtu wa bongo asie na safari za nje anunue hapa nyumbani tu ila kama anataka ku-import atatakiwa kulipa kodi ya hatari.