Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Ila ipo moja inaitwa Federico Mahora FM iko safi sana nayo tena haivuki laki na nusu ni nzuri sana ipo kwenye kichupa cha blue nakumbuka kuna wakati bi mkubwa aliniletea nikaidharau ila siku nikaishiwa unyunyu ile kuipiga nikaona nzuri na inakaa sana kwa mwili aisee na iko cool sio kama ukipiga zile za bei flani ndogo kidogo.