Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Use miyak, sikumbuki inaandikwaje ila hii perfume iliniachanisha kwa mjamaa aliyetaka kunioa nikamfata, nikiwa field yeye ni afisa hapo ofcn. Yaani nakiri nilivua sketi na kila kitu cha ndani. Perfume tuu, siku hizi sijui kama bado IPO.
mlitumia condom?
 
Bleu de Channel,
Terres d' Harmes
Jean Paul Gaultier
 
tumia zile za kwenye vichupa vidogo zinauzwa sanasana miskitini maeneo ya kariakoo kwa dar bei haizidi jero inategemeana unataka ujazo kiasi gani.
Ahsanta
 
Sasa hizo harufu yake ni shidaaah tone moja tu lakini
 
Nimefika iliyopo York.......na hasa nilizama zaidi Michael Kors na Timberland...........na kidogo Ann Summers (yu no wora amsaying hia)............hi hi hi..........

Duh...mbishi wewe! hapo kwenye Tims (boots)umenigusa maanake huko unazikuta £60-70 wakati high street ni £130!
 
Use miyak, sikumbuki inaandikwaje ila hii perfume iliniachanisha kwa mjamaa aliyetaka kunioa nikamfata, nikiwa field yeye ni afisa hapo ofcn. Yaani nakiri nilivua sketi na kila kitu cha ndani. Perfume tuu, siku hizi sijui kama bado IPO.

Issey Miyake,L'eau d'issey pour homme! natumia hio sijui unavinjari wapi nijipitishe!
 
Watu wengine mnachekesha Sana! Mnashikilia hela hela...wenzenu wana hela halafu wasafi full exposed unafikiri demu atachagua yupi?! Mwenye hela mchafu au mwenye hela msafi?!
Nani kakwambia pafyum inaondoa uchafu? Pafyumu ni kwa watu watu ambao psychogically wamekosa kujiamini na level yao ya usafi. Generally watumiajì pafumu wana background za uchafu.
 
Totally wrong..
 
Pole sana.
 
ImageUploadedByJamiiForums1436069322.705340.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436069476.704607.jpg
 
Jamani issey miyake ilinifanya nikadata kwa mshkaji kabisa na kuwa strong relationship ,ooh my.........
Mmenikumbusha mbali aisee uwiiiiiii
 
Back
Top Bottom