Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Ya oxford street upande karibu na Tottenham court road.

Mi huwa nanunua ya whiterose Leeds.......japo pia hiyo yako naifahamu.....lakini zaidi sana duty free shops..........
 
Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!

Yaani sina mbavu jaman,,ahahah
 
Tumieni perfume za kila aina na kila bei harufu itamsaidia mwanamke akusikilize unachomwambia kwa muda huo kwa sababu hunuki ila hela ndio itamfanya akukubalie ombi lako na kudumu na wewe kwa muda mrefu
 
ndg yangu kitu kama perfume it is individual sana kwani inategemeana na vitu vingi
kwa mfano some people refer red more than white
vivyo hivyo kwenye perfume
harufu but price and nature of pefume can deermine
 
Mi huwa nanunua ya whiterose Leeds.......japo pia hiyo yako naifahamu.....lakini zaidi sana duty free shops..........

Siku ingine tembelea designer outlets vitu bei chee! Zipo Swindon,bicester village,gunwharf quay Portsmouth etc
 
Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!

mbavu zangu zihurumie.... 😂😂😃😃😃
 
Siku ingine tembelea designer outlets vitu bei chee! Zipo Swindon,bicester village,gunwharf quay Portsmouth etc

Nimefika iliyopo York.......na hasa nilizama zaidi Michael Kors na Timberland...........na kidogo Ann Summers (yu no wora amsaying hia)............hi hi hi..........
 
Kwa mtu wa bongo asie na safari za nje anunue hapa nyumbani tu ila kama anataka ku-import atatakiwa kulipa kodi ya hatari.

Sio lazima uende........watu kibao wanasafiri siku hizi.......dunia kijiji.......bongo nyingi fake.........ukihitaji huwezi kosa...........
 
Back
Top Bottom