Wote mnadanganya hapa, wadada wanavutiwa na harufu ya pesa.
Labda swali lile ni pafyumu gani inanikia vizuri? Lakini siyo kwamba wadada wanapenda harufu kwa mwanaume zaidi ya harufu ya pesa.
Ukisikia hiyo harufu ni signal ya pesa, mie wa mjini mwenzio Preta.
Pesa sabuni ya roho hata gari ya mwenye pesa ndani inanukia marashi ya ukweli, siyo unapanda mkweche unanukia petrol.Ndio maana yake........sasa unadhani nitakufuata ukiwa umejipaka gift of Zanzibar au cobra..........?..........
Nilikuwa nawapa angalizo watu wengine ni wageni hapa mjini wanaweza kudunduliza wakanunuwa hizo pafyumu siku wakitestiwa kupigwa mzinga wa wekundu watano tu zinaanza aeiou.Kumbe ulikuwa unachangamsha barza tu.
Wote mnadanganya hapa, wadada wanavutiwa na harufu ya pesa.
Labda swali lile ni pafyumu gani inanikia vizuri? Lakini siyo kwamba wadada wanapenda harufu kwa mwanaume zaidi ya harufu ya pesa.
Ukisikia hiyo harufu ni signal ya pesa, mie wa mjini mwenzio Preta.
Pesa sabuni ya roho hata gari ya mwenye pesa ndani inanukia marashi ya ukweli, siyo unapanda mkweche unanukia petrol.
Nilikuwa nawapa angalizo watu wengine ni wageni hapa mjini wanaweza kudunduliza wakanunuwa hizo pafyumu siku wakitestiwa kupigwa mzinga wa wekundu watano tu zinaanza aeiou.
Mjini siyo mipango wala mikakati ni mahesabu tu.
Hivi hamna anayetumia hizi nivea za buku 7 humu?
Nipo bhana. . . .
Mzee wa ma-time piece!
Ha ha haaa acha fujo kaka. . . . . .Ushatest I. Miyake. . . .Intense??!!!
Baridi flan hivi ukilinginasha na Ilioum Summer, packed in black
Hivi hamna anayetumia hizi nivea za buku 7 humu?
Shikamo matolaMbona mimi ndio zangu hizo deodorant? Ila mimi natumia za Rasasi juzi kati pale airport nilimmind security mmoja alivyonizuia kupanda nayo ndani ya ndege kwenye rasket bag yangu kwakuwa sijui imezidi nyokonyoko gani sijui wenyewe wanadai ina 10 percent sijui ya nini! Huruhusiei kuingia nayo ndani ya ndege.
Niliwaachia security lakini roho iliniuma kweli.
Bado, nitaijaribu nione ikoje!
Sekta gani mzee wa Sicilly. . . .Wewe tena!!
Ndo sekta yako hii!!
Hahaha hahahaha.... Eeeh kweli aisee.... Maisha yananifanya nipotee dear maana kutwa kukimbizana so nakosa muda
Za masiku nzuri kabisa sijui ww
Nimefika iliyopo York.......na hasa nilizama zaidi Michael Kors na Timberland...........na kidogo Ann Summers (yu no wora amsaying hia)............hi hi hi..........
Sekta gani mzee wa Sicilly. . . .
Si hayo perfume na utanashati wake hadi SAA!!
heheeee hapo sawa sawa nimepata njia ya kuwavuta wapiga kura. tukutane Oktoba#