I buy for my Gozi what I would like him to wear.
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?
Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
hakuna perfume zinazopendwaa kama hizi
View attachment 117351
View attachment 117350
View attachment 117352
I think it's fantastic when men smell nice
If I walk by a guy at work/Street wearing some kind of scent,
I invariably turn around to see who it is that just passed by!!!!!!1
Ndio kabisa.......ninachotaka nisikie ndicho atakachopaka.........this time nataka nimsikie akinukia Euphoria for men.........na hatakiwi kuongea chochote.......
kitu mafuta ya yolanda enzi hizo 1985
mkuu C.T.U.
Usione wanawake wa kibongo wamevaa wamependeza ukafikiri wanajua hivi vitu,,wengi sana pamoja na urembo wao hawajui marashi yao wala ya kiume...ujawahi kuta binti mrembo kabisa kavaa kapendeza ile mbaya ila ukimsogelea karibu unakuta ananuka majasho??mpaka credit zote unamtoa... hivi vitu vinaitaji uwe na background pia la sivyo utaishia kutumia brand za Rasasi.
Yaani mkuu Matumbo nimeshindwa kukugongea like sijakiona kitufe, umehit the bull aisee.. yaani mabinti wa bongo asilimia kubwa bureeeee kabisa bureeeeee haswa kwenye maswala ya harufu, kuna dada mmoja alikuwa ananuka kikwapa balaa nikawa najiuliza ivi yeye haisikii hiyo harufu na alivo smart vile, nikamuuliza swali la kizushi siku moja kuwa nasikia deodorant za forever living ni nzuri hazina madhara je unanishauri vp kuhusu kumnunulia wife wangu? Akanijibu aahhh mie hizo deodorant wala sijishughulishi nazo najipakia poda tu mie sitaki kansa za makwapa!!!!! Nikapata jibu kwa mashaka yangu,kumbe yeye anapiga poda hajui kwamba jasho likidizi poda huzidiwa na nguvu ya harufu haswa ya jasho la kwapani... nadhani hivi vicheni party wanavopeana wadada embu waambiane na hili la harufu pleaseeeeeeeeeeeeee
Yaa
Kiukweli napenda mwanaume anukie! Yaani ht akiwa anakuja najua he s coming, nishasikis ile cologne na si nyingine ni isimiaki/isymiaki.am nt sure na spelling!!!!
Akinisogelea/akinikumbatia baaaaas
issey miyake....been using that for more than ten years now......
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?
Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
utakuwa unachanganya but chanel za kiume zipo na za kike zipo piaHiyo ni ya kike.......(nadhani).......na kuna eau de perfume.......ndio naona ipo poa......
naonaga ni perfume ya ukweli sana
utasikiabei yake 20000 mweeh mie mwisho 6000 kununua vitu hivyo.
lol acha uwonga...ila kuanzia dola 50utasikiabei yake 20000 mweeh mie mwisho 6000 kununua vitu hivyo.