Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Wengine wanapenda harufu ya makwapa yale yaloshinda siku nzima bila kuoshwa ndio raha na furaha kwao
 
Mie napenda mpenzi wake atumie romance perfume,,,,, harufu yake mie hoi taabani sijiwezi!!!!!!!"!"!
 
hahahahaha unanikumbusha jamaa angu mmoja alikua anasema harufu ya p.u.mbu lake inawavutia maduu kwasababu inawapa kiu ya kuuona mzigo..:eyeroll1:
 
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?

Yaa
Kiukweli napenda mwanaume anukie! Yaani ht akiwa anakuja najua he s coming, nishasikis ile cologne na si nyingine ni isimiaki/isymiaki.am nt sure na spelling!!!!

Akinisogelea/akinikumbatia baaaaas
 
naona unataka kukimbia dukani sahii!! Haya kanunue temptation alafu hurudi hapa!!

Temptation!Nakuja muda sio mrefu.Hivi majina ya hizi pafyum yana maana sawa na ubora na kazi ya hiyo pafyum??
 
mkuu C.T.U.

Usione wanawake wa kibongo wamevaa wamependeza ukafikiri wanajua hivi vitu,,wengi sana pamoja na urembo wao hawajui marashi yao wala ya kiume...ujawahi kuta binti mrembo kabisa kavaa kapendeza ile mbaya ila ukimsogelea karibu unakuta ananuka majasho??mpaka credit zote unamtoa... hivi vitu vinaitaji uwe na background pia la sivyo utaishia kutumia brand za Rasasi.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?

I can guarantee you kuwa hakuna binadamu mwenye masikio ya kusikiliza perfume hapa duniani. Hiyo ni perfume gani?
 
url-3.jpeg
naonaga ni perfume ya ukweli sana

Hiyo ni ya kike.......(nadhani).......na kuna eau de perfume.......ndio naona ipo poa......
 
Back
Top Bottom