Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi siku hizi neno copy ndio linalainisha neno fake?
Original ni hata ukifua inadumu kwenye nguo.. ukipuliza kidogo tu inanukia kwa muda mref hata baada ya kufua. Copy hudumu ndani ya 24 hrsHiyo copy inanukia vizuri kama OG na inadumu kwa muda gani. Yani kwa ufupi elezea faida za copy.
Hahah.. kama ningekua naweza kubambikia mtu nisingesema kama kuna copy.. ningeweka moja tu na bei ya original. Kukwambia kuna copy manaake tayar nia yngu ni kutokukubambikia.. copy na original hazina tofaut katika muonekano wa pichaWeka picha ya copy na original, pia utueleze copy inatambulika vipi na original inatambulika vipi. Kuandika tu bei haotoshi, kama nikihitaji hiyo original na pengine ukanifungia copy nitajuaje?
Unasemaje? Hazina tofauti!?Hahah.. kama ningekua naweza kubambikia mtu nisingesema kama kuna copy.. ningeweka moja tu na bei ya original. Kukwambia kuna copy manaake tayar nia yngu ni kutokukubambikia.. copy na original hazina tofaut katika muonekano wa picha
Tunapunguza ukali wa maneno jamani[emoji1787]Hivi siku hizi neno copy ndio linalainisha neno fake?
Zanzibar sehemu gani? Unguja or Pemba?Mimi nipo Zanzibar, ila delivery tunafanya Dar, Tanga, Arusha na Tanzania kwa ujumla
Hahah.. kama ningekua naweza kubambikia mtu nisingesema kama kuna copy.. ningeweka moja tu na bei ya original. Kukwambia kuna copy manaake tayar nia yngu ni kutokukubambikia.. copy na original hazina tofaut katika muonekano wa picha
Watumiaji wa original huwa sio waongeaji hv. Njoo nikuuzie copy ya 35000 kaka.. ni nzuri tuJibu nilichotaka kufahamu acha ukanjanja!
Tueleze unawezaje kutambua og na copy?
Na kama hazina tofauti katika muonekano wa picha wewe uliwezaje kuzitambua?
…nadhani kwanza uweke picha hapa ya og na copy ndio tujue ukweli wako.
Vile vile Cha msingi ninachohitaji kufahamu zaidi ni namna gani ya kutambua og na copy ukiacha na muonekano!
Japokuwa hili swali mfanyabiashara kanjanja anamuambia mteja kitu hiki ni copy na hiki ni original, ila akiulizwa unawezaje kutambua huwa hasemi anajitetea kama ulivyofanya kwa kusema siwezi kukubambikia kwa kuwa nimeshakujuza kuna copy na original.
Sasa kama wewe siyo miongoni mwa makanjanja eleza hapa utambuzi wa copy na og unafanyika vipi katika hizo bidhaa zako ili tukuamini.
Watumiaji wa original huwa sio waongeaji hv. Njoo nikuuzie copy ya 35000 kaka.. ni nzuri tu
SawaaAcha ukanjanja wewe… huwezi kupata wateja huku kwa hiyo style yako ya kujibu!
Hii kauli eti watumiaji wa original si waongeaji ni kauli zinazotolewa na wafanyabiashara wa hovyo wasiojua namna ya kumuelimisha mteja au madalali! Pengine wewe ni dalali na hujui chochote kuhusiana na hizo bidhaa ulizoleta humu ndiyo maana unakwepa kujibu ulichoulizwa!
Hili swali ni gumu sana, akiweza kulijibu itathibitisha kua anajua anachokiuza.Jibu nilichotaka kufahamu acha ukanjanja!
Tueleze unawezaje kutambua og na copy?
Na kama hazina tofauti katika muonekano wa picha wewe uliwezaje kuzitambua?
…nadhani kwanza uweke picha hapa ya og na copy ndio tujue ukweli wako.
Vile vile Cha msingi ninachohitaji kufahamu zaidi ni namna gani ya kutambua og na copy ukiacha na muonekano!
Japokuwa hili swali mfanyabiashara kanjanja anamuambia mteja kitu hiki ni copy na hiki ni original, ila akiulizwa unawezaje kutambua huwa hasemi anajitetea kama ulivyofanya kwa kusema siwezi kukubambikia kwa kuwa nimeshakujuza kuna copy na original.
Sasa kama wewe siyo miongoni mwa makanjanja eleza hapa utambuzi wa copy na og unafanyika vipi katika hizo bidhaa zako ili tukuamini.
Hii ya kwendea kwenye futari jioni30,000 oud RomensiaView attachment 2198790