INAUZWA Perfumes kali za kike na kiume kutoka UAE kwa bei poa

Its true, kama muuzaji hawezi kuzitofautisha utakuwa vipi na uhakika kuwa anachokiuza ni og? Na hii sio kwenye perfume tu ni kwenye bidhaa nyingi.

Cha kushangaza utetezi wake eti, ni kwamba kwa kuwa ameshasema kuna copy na og hawezi kumbambikia mteja! Mara ooh wanaouliza siyo wanunuaji.
Ajabu zaidi kuna makanjanja wengine wanamtetea!
 
Simple mbona hii ishu...nenda youtube kuna video kibao za kutofautisha fake na real Sauvage

Uzi umeletwa jf, ufafanuzi wa chochote kuhusu kilicholetwa ungepaswa utolewe hapa hapa, siyo mambo sijui ya nenda youtube!
Kama ufafanuzi upo youtube basi huu uzi ungewekwa huko youtube maana huko nako angepata hao wateja, la sivyo angetuletea link direct hapa inayoelezea alichoulizwa, siyo kuleta ukanjanja kam unavyotaka kuleta na wewe ukanjanja wako wa kumtetea!
 
Ujuaji mwingiii
 
Back
Top Bottom