Kuna tusi nimemtukana? Kanjanja ni tusi ee?
Unasikitisha mkuu, hivi wewe unaona kuuliza na kutaka ufafanuzi wa nilichokitaka ni kushindana?
Lakini vile vile Wewe umedandia tu mada…!!
Hiki ndio nilichomuuliza mwanzo kabisa.
View attachment 2200091
Kama hana ujuzi si angesrma tu hajui?
Tatizo lenu watu kama wewe unataka wenzio anapohitaji kununua bidhas flani basi anapopewa majibu mepesi akubaliane nayo tu. Na hili me nalitambua, wafanyabiashara makanjanja wasio na ujuzi wanaobambikia watu bidhaa hawapendi kuulizwa maswali ya kudodosa wanakasirika na mwisho huishia kumwambia mteja eti siyo mnunuzi na hapendi pengine kuelimishwa.
Hili mimi nimemuuliza ni very positve way ili kama anajua nilichomuuliza ajibu, ama kama kuna mwingine mwenye majibu ayatoe kwa manufaa ya wote.