Its true, kama muuzaji hawezi kuzitofautisha utakuwa vipi na uhakika kuwa anachokiuza ni og? Na hii sio kwenye perfume tu ni kwenye bidhaa nyingi.
IGNORED!!Kuuliza ni ujuaji?
Kumbe vilaza ni wengi namna hii..!?
IGNORED!!
Simple mbona hii ishu...nenda youtube kuna video kibao za kutofautisha fake na real Sauvage
Ujuaji mwingiiiUzi umeletwa jf, ufafanuzi wa chochote kuhusu kilicholetwa ungepaswa utolewe hapa hapa, siyo mambo sijui ya nenda youtube!
Kama ufafanuzi upo youtube basi huu uzi ungewekwa huko youtube maana huko nako angepata hao wateja, la sivyo angetuletea link direct hapa inayoelezea alichoulizwa, siyo kuleta ukanjanja kam unavyotaka kuleta na wewe ukanjanja wako wa kumtetea!