Perry is back.

Perry is back.

Status
Not open for further replies.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano wenu.
 
Wacha upuuzi, who are u mpk uanzishe thread? Au ndio ustarabu mpya? Msalimu mpiga msuli kokote aliko
 
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..nimejirekebisha kiasi.

ah mkulu umetoka lini kule asee!!..ujue tulifungwa pamoja siku ile!!..adui yetu ni 'mbebez' flan hv anaitwa heaven on earth na ki 'dume mbebez' flan hivi kinajiita 'quotes master' na 'lusungo'.
 
ah mkulu umetoka lini kule asee!!..ujue tulifungwa pamoja siku ile!!..adui yetu ni 'mbebez' flan hv anaitwa heaven on earth na ki 'dume mbebez' flan hivi kinajiita 'quotes master' na 'lusungo'.

mimi adui wangu mkubwa ni huyo mdudu anaejiita lusungo,yani na me namtafutia pozi tu nimnase nae apewe ban ya maisha.
 
mpuuzi ni wewe uliyecomment kwenye thread ya kipuuzi.

Nimekutega ukategeka duh wadogo wa siku izi hata huwezi fikiria kidogo? I just provoked you to tease if you mean what you write! Anyway all the best, get on changing
 
mpuuzi ni wewe uliyecomment kwenye thread ya kipuuzi.

huyu 'mbebez' naona anawashwa sana maana hata mimi ananifatilia sana!!..ujue aunty msigwa mimi nimeoa sitaki univunjie ndoa you know!!
 
Nimekutega ukategeka duh wadogo wa siku izi hata huwezi fikiria kidogo? I just provoked you to tease if you mean what you write! Anyway all the best, get on changing

unanitega kwani me swala?nyie ndo wachawi wenyewe wa humu jf.
 
Nimekutega ukategeka duh wadogo wa siku izi hata huwezi fikiria kidogo? I just provoked you to tease if you mean what you write! Anyway all the best, get on changing

ah 'mbebez' wa bara la giza huyo!!..u knw wht my 'mbebez'...mwenzio ain't impressd with 'dume mbebez' you know!!...
 
mkuu,hvi huna kazi ya kufanya huko uliko,maana huu ni muda wa kazi?

kazi aitoe wapi huyu 'mbebez' ni mbeba 'kibuku' pale ubungo!!..hapo kaadhima simu ya boss wake ndo anatapika saivi!!...mijitu ya bara la giza banah ni shida sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom