Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha upuuzi, who are u mpk uanzishe thread? Au ndio ustarabu mpya? Msalimu mpiga msuli kokote aliko
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..nimejirekebisha kiasi.
ah mkulu umetoka lini kule asee!!..ujue tulifungwa pamoja siku ile!!..adui yetu ni 'mbebez' flan hv anaitwa heaven on earth na ki 'dume mbebez' flan hivi kinajiita 'quotes master' na 'lusungo'.
mpuuzi ni wewe uliyecomment kwenye thread ya kipuuzi.
mpuuzi ni wewe uliyecomment kwenye thread ya kipuuzi.
kakojoe ulale.
Excel hivi ile dawa ya hawa viumbe bado iko au mpk quotes master awepo?
Nimekutega ukategeka duh wadogo wa siku izi hata huwezi fikiria kidogo? I just provoked you to tease if you mean what you write! Anyway all the best, get on changing
mkuu,hvi huna kazi ya kufanya huko uliko,maana huu ni muda wa kazi?
mkuu,hvi huna kazi ya kufanya huko uliko,maana huu ni muda wa kazi?