Tanzania utapata hawana dedicated airbases .walizo nazo ni ndogo hata haziwezi patikana kwenye Google Earth zingine zinatumika kama civilian airports Jambo ambalo hunishangaza Sana.Alafu utapata wakijilinganisha na Kenya .
Africa hakuna nchi yenye bomber
Kdf is among the few African operators of scan eagle and RQ 11 drones View attachment 1062294View attachment 1062296
Alshabaab mara nyingi hawavai magwanda ya kijeshi utawaona Kama raia wakawaida tu.Hizi drone zilikuwa wapi kipindi ambacho al shabab wanainyemelea al adde na kuchinja kdf 200
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Alshabaab mara nyingi hawavai magwanda ya kijeshi utawaona Kama raia wakawaida tu.
Wanajua sana kublend na civilians na kuwatumia Kama human shields ili wasipigwe mabomu.Itakuwa vingumu Sana kuwatambua kutoka angani labda wakiwa kwenye recruitment parade zao ama strategy meetings.
Wanapo shambuliwa wao hukimbia kwenye vitongoji na kujificha humo kwa sababu wanajua kwamba Kdf hawatawafuata huko ili kuepuka kushatakiwa na makosa ya jinai kwa ku waua raia .
Vita vya aina hii hujulikana Kama assymetrical warfare na hua havina mwisho yani Kama vile Tom and Jerry.
Ubaya enyu mnadepend on rumours. Israel has all the weapons one could think of. Kama hamna msidhani kila mtu pia hana.Africa hakuna nchi yenye bomber
Hata Israel hana bomber hata moja
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Na juzi pale dusit uliona vile alshabaab walivyofanywa??????Westgate paliwatoa kamasi,hao hawakuwepo?
Na juzi pale dusit uliona vile alshabaab walivyofanywa??????
Africa hakuna bomber kdf wanawadanganya mpaka nyie raia wakeUbaya enyu mnadepend on rumours. Israel has all the weapons one could think of. Kama hamna msidhani kila mtu pia hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Comando alisaidia kuhamisha raiya, hakupambana na alshabaab moja kwa moja, na ole wako wewe kama muafrika kuamini mzungu anapokuepo mahali pasi sifa zote zimuendee yeye, hii ndo huitwa ukoloni mambo leoKwa hisani ya commando from British
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kwa hisani ya commando from British
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Africa hakuna bomber kdf wanawadanganya mpaka nyie raia wake
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sure kwenye pictures kdf ni strongest army in EA
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sijui maana ni vigumu saana kuona askari wa tpdf wamebeba bunduki
Sijui maana ni vigumu saana kuona askari wa tpdf wamebeba bunduki
Nambie Kenya wameitoa wap hiyo bomber?
Sent using my iPhone using jamiiforum app