Alshabaab mara nyingi hawavai magwanda ya kijeshi utawaona Kama raia wakawaida tu.
Wanajua sana kublend na civilians na kuwatumia Kama human shields ili wasipigwe mabomu.Itakuwa vingumu Sana kuwatambua kutoka angani labda wakiwa kwenye recruitment parade zao ama strategy meetings.
Wanapo shambuliwa wao hukimbia kwenye vitongoji na kujificha humo kwa sababu wanajua kwamba Kdf hawatawafuata huko ili kuepuka kushatakiwa na makosa ya jinai kwa ku waua raia .
Vita vya aina hii hujulikana Kama assymetrical warfare na hua havina mwisho yani Kama vile Tom and Jerry.