Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Hizi drone zilikuwa wapi kipindi ambacho al shabab wanainyemelea al adde na kuchinja kdf 200

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Alshabaab mara nyingi hawavai magwanda ya kijeshi utawaona Kama raia wakawaida tu.
Wanajua sana kublend na civilians na kuwatumia Kama human shields ili wasipigwe mabomu.Itakuwa vingumu Sana kuwatambua kutoka angani labda wakiwa kwenye recruitment parade zao ama strategy meetings.
Wanapo shambuliwa wao hukimbia kwenye vitongoji na kujificha humo kwa sababu wanajua kwamba Kdf hawatawafuata huko ili kuepuka kushatakiwa na makosa ya jinai kwa ku waua raia .
Vita vya aina hii hujulikana Kama assymetrical warfare na hua havina mwisho yani Kama vile Tom and Jerry.
 
Scan eangle zina sifa ya kutambua silaha au chuma zikiwepo juu pia zina uwezo wa kuscan body

Sasa kwani times magaidi wanajongea kwenye kambi hazikugundua silaha au kuscan?

Kila kambi huwa inamipaka sasa hizo drone za kdf hazikuona kuna watu wanaingia eneo la kambi
Alshabaab mara nyingi hawavai magwanda ya kijeshi utawaona Kama raia wakawaida tu.
Wanajua sana kublend na civilians na kuwatumia Kama human shields ili wasipigwe mabomu.Itakuwa vingumu Sana kuwatambua kutoka angani labda wakiwa kwenye recruitment parade zao ama strategy meetings.
Wanapo shambuliwa wao hukimbia kwenye vitongoji na kujificha humo kwa sababu wanajua kwamba Kdf hawatawafuata huko ili kuepuka kushatakiwa na makosa ya jinai kwa ku waua raia .
Vita vya aina hii hujulikana Kama assymetrical warfare na hua havina mwisho yani Kama vile Tom and Jerry.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
KDF-F-5-jet.jpeg
A-Makeshift-Al-Shabaab-Camp-Destroyed-by-KDF-Fighter-Jets-in-Gedo-Region-Somalia.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tpdf wanatumia hizi ambazo ni ambazo ni chapa ya Ak from Russia
20190325_223745.jpeg

Back
Top Bottom