Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Na wakifika DRC wanafukuzwa mbio na wanamgambo watoto waliojiami kwa mapanga.
Picha sio kupigana. Katika hostoria ya vita hamjawahi kupigana na kushinda vita hata moja. Alishababu wamawatia aibu sana. Wamewapiga kwenye kambi yenu mmeshindwa hata kujitetea, mamia ya wanajeshi wenu wameua na alishababu kwenye shambulio hilo huku serikali ikiona aibu kusema idadi kamili kwaajili ya usalama. Mmepigwa kama kuku. Watanzania wameweza kuwamaliza M23 Ndani ya usiku mmoja. Watanzania 14 walioua DRC ni unexpected ambush ambayo katika mausala ya medani za kivita haizuiliki hata huvyo wataalam wa masuala ya kivita wanasema kama jeshi la Tanzania lisingekuwa imara wangeua wote. Kingine kilichochangia kuuawa ni waasi walikuwa na silaha kali kuliko Watanzania na hii si kwakuwa Tanzania haina silaha zaidi yao la hasha hii ni kwasababu ya mandate ya UN inakataza nchi kuja na silaha za aina fulani ila sasa Tanzania imelalamika kwa UN na kifungu hicho kimebadilishwa na kuongezewa silaha kali za kivita. Stay tuned.
 
Ubora wa jeshi sio picha wakiwa kazini,taja operations walizofanya wakafanikiwa,
Alshababy wamefikia wapi?
JWTZ,tumekomboa nchi zote kusini wa sahara,sasa tupo Congo,M23 turisambaratisha wote,KDF operation gani mmefanya,mkafanikiwa?
 
Ubora wa jeshi sio picha wakiwa kazini,taja operations walizofanya wakafanikiwa,
Alshababy wamefikia wapi?
JWTZ,tumekomboa nchi zote kusini wa sahara,sasa tupo Congo,M23 turisambaratisha wote,KDF operation gani mmefanya,mkafanikiwa?
baada yenu kukombolewa na mzungu muingereza kutoka idi amin
 
Kwani mbeleni mlikuwa mmejiami kwa mapanga mlipovumburushwa na wanamgambo watoto waliokuwa na mapanga pia?

Britain aids Tanzania in toppling Amin

2008 invasion of Anjouan

Nionyeshe vita mlishinda wenyewe bila usaidizi wa nje.
 
Ubora wa jeshi sio picha wakiwa kazini,taja operations walizofanya wakafanikiwa,
Alshababy wamefikia wapi?
JWTZ,tumekomboa nchi zote kusini wa sahara,sasa tupo Congo,M23 turisambaratisha wote,KDF operation gani mmefanya,mkafanikiwa?
m23 Ata south Sudan watawamaliza...hii ujinga ya kutaja taja bushmen mtawacha
 
nadhani al shabaab ingeivamia bongo ingechukua masaa manne kufika dar toka somalia. bongo muwe na asante Kenya tunamlinda kila uchao
 
Wakenya mnachekesha sana. Sijaona kitu chochote cha maana hapo.
Nionesheni kijana Askari yeyote toka Kenya mwenye vitu kama hivi.



Hizi hapa ni gun za operation (Uzi) Nawaona wakenya wanamabunduki ya kizamani ndiyo maana kwenye operation ya west gate mlishindwa. Tafuteni vitu kama hivi hapa chini.
 
Nawasifu sana jeshi la Kenya. Kama kuna jambo mmefanikiwa ni kuwadhibiti barabara Al-Shabab hivi sasa Somalia inaelekea kuwa taifa tulivu na uharamia wa baharini umekoma kabisa
Wanaotakiwa kusifiwa ni uganda.
Angalia hapa:-





 
 
The gun in the first pic is not an Uzi its a Tavor.
In fact Uzi is an outdated gun most militaries and police forces replaced uzi with MP 5 which is more efficient than the Uzi.
 
Jeshi liko imara... Imefanyiwa testing,, si kama ile ya display. Ati wanatuonyesha mtu amevaa miwani akiwa amekunja sura ati special force. Haha.. Hata mbuzi hukunja sura
Si ndio wale walioiba vitu pale westgate?? Ama hawa ni tofauti!
 
Jeshi ni ushujaa na ujasiri kitu muhimu sana......ndiyo maana Germany ya Hitler licha ya kuwa na advance weapon ktk dunia ile lakini alipigwa na Soviet ambayo haikuwa na nguvu sana miaka hiyo

Kaulize Marekani na vita yao na Vietnam

Unaweza ukawa na advanced weapon lkn mwisho askari wako waka abandon hzo na kukimbia AK-47 tu.
 
The gun in the first pic is not an Uzi its a Tavor.
In fact Uzi is an outdated gun most militaries and police forces replaced uzi with MP 5 which is more efficient than the Uzi.
Nani kakuambia hiyo hapo juu ni Uzi. Nimekueleza hizo hapo chini.
 
Jeshi la Kenya wako well armed , trained , disciplined , well equipped but kwenye ground sijui kwanini sio wazuri kihivyo pengine kuna hidden issues kama corruption na trabalism vinashusha morale yao
 
Stupid, you know nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…