Sasa hiyo inahusiana aje na military strengthSi ndio wale walioiba vitu pale westgate?? Ama hawa ni tofauti!
Nawasifu sana jeshi la Kenya. Kama kuna jambo mmefanikiwa ni kuwadhibiti barabara Al-Shabab hivi sasa Somalia inaelekea kuwa taifa tulivu na uharamia wa baharini umekoma kabisa
Angalia hapo kwanza kabla hujaleta ushuzi hapa https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/10/119965_2b0397e56fae11b89359c0e668840dc5.jpeg https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/04/99201_3db98a4c8a37f7a4d1d16a70e051eae1.jpg
wewe nani kakuambia hatuna silaha za kisasa au unaamua kuongea tu kama msemaji wa jeshi? tulia waache hao wafanye show off kama kawaida yao isikuumize sanaNakubali kunyamaza kwa mambo ninayoyajua ndani ya hiko chombo, tuna jeshi zuri ila hatuna silaha za kisasa kama unavyotetea point zako ila hili jambo la kununua silaha za kisasa limeshaleta mambo mengi sana ndani ya hiki chombo na mpaka serikalini. Narudia tena, kwa upande wa kuwa na silaha za kisasa, jeshi letu bado sana. Nakutakia asubuhi njema.
Angalia huyo watz kavaa NVG mchana!Sisi Wabongo hatuongea sana kama ninyi, lakini Watu wenye akili duniani acha waongee na Wanasema Tanzania is the only African country in the list of top 35 world's most elite military teams. Angalia chini hapo, sisi ni namba 27 in the world, ninyi sijawaona pamoja na kelele zenu zote.
These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.
Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces.
1. US Navy SEAL
2. British SAS
3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces
4. French Special Forces
5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)
6. Irish army rangers
7. Australian SASR
8. MARSOC
9. Canadian counter terrorist group JTF2
10. Russian Special Forces: Spetsnaz
11. Dutch Special Forces
12. SBS
13. Delta Force
14. Belgian Special Forces Group
23. U.S. Special Forces
24. Indonesian Special Forces Command
25. Romanian Special Forces
26. Serbian Gendarmerie
27. Tanzanian Special Forces In Congo
Kwahiyo Mkuu Tanzania tumeipita mpaka China?Sisi Wabongo hatuongea sana kama ninyi, lakini Watu wenye akili duniani acha waongee na Wanasema Tanzania is the only African country in the list of top 35 world's most elite military teams. Angalia chini hapo, sisi ni namba 27 in the world, ninyi sijawaona pamoja na kelele zenu zote.
These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.
Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces.
1. US Navy SEAL
2. British SAS
3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces
4. French Special Forces
5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)
6. Irish army rangers
7. Australian SASR
8. MARSOC
9. Canadian counter terrorist group JTF2
10. Russian Special Forces: Spetsnaz
11. Dutch Special Forces
12. SBS
13. Delta Force
14. Belgian Special Forces Group
23. U.S. Special Forces
24. Indonesian Special Forces Command
25. Romanian Special Forces
26. Serbian Gendarmerie
27. Tanzanian Special Forces In Congo
Jeshi halina nidhamu, jeshi linaiba mall. Jeshi linaogopa kuingia ndani ya mall mpaka watu wanatokomea, yaani mpaka swala ya usiku wamefanyia mall. Hovyo kabiss KDF kwenye upande battle ila kwa vifaa nawapa credit.Picha sio kupigana. Katika hostoria ya vita hamjawahi kupigana na kushinda vita hata moja. Alishababu wamawatia aibu sana. Wamewapiga kwenye kambi yenu mmeshindwa hata kujitetea, mamia ya wanajeshi wenu wameua na alishababu kwenye shambulio hilo huku serikali ikiona aibu kusema idadi kamili kwaajili ya usalama. Mmepigwa kama kuku. Watanzania wameweza kuwamaliza M23 Ndani ya usiku mmoja. Watanzania 14 walioua DRC ni unexpected ambush ambayo katika mausala ya medani za kivita haizuiliki hata huvyo wataalam wa masuala ya kivita wanasema kama jeshi la Tanzania lisingekuwa imara wangeua wote. Kingine kilichochangia kuuawa ni waasi walikuwa na silaha kali kuliko Watanzania na hii si kwakuwa Tanzania haina silaha zaidi yao la hasha hii ni kwasababu ya mandate ya UN inakataza nchi kuja na silaha za aina fulani ila sasa Tanzania imelalamika kwa UN na kifungu hicho kimebadilishwa na kuongezewa silaha kali za kivita. Stay tuned.
Afadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....Jeshi halina nidhamu, jeshi linaiba mall. Jeshi linaogopa kuingia ndani ya mall mpaka watu wanatokomea, yaani mpaka swala ya usiku wamefanyia mall. Hovyo kabiss KDF kwenye upande battle ila kwa vifaa nawapa credit.
Yaani wakenya ni washamba sana. Tembea uone kijana. Hivyo ni vitu vya kawaida sana.
Hapo umezingua kinoma mkubwa .... Tafakari upya afu rudi tena...!!m23 Ata south Sudan watawamaliza...hii ujinga ya kutaja taja bushmen mtawacha
Kijana usilete vita ya mawe wakati nyumba yako ni ya ovyo ovyoAfadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....
-------
The UN mission in the DRC announced that it had received allegations of sexual exploitation and abuse by members of the Tanzanian contingent attached to the MONUSCO Force Intervention Brigade in Mavivi village in the eastern part of DRC.
According to preliminary information, there are 11 such allegations against the Tanzanian troopers in the area, all of them involving paternity claims.
The implicated soldiers have been detained awaiting the further UN investigation while the whole Tanzanian troop has also been confined to the brigade’s base station. Meanwhile, a top UN official on sexual abuse is expected to arrive in the region soon.
Tanzanian soldiers in DRC arrested over sex abuse
----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
Haya mnayafanya ndani ya nchi yenu kabisa kubaka watoto wa kiislamAfadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....
-------
The UN mission in the DRC announced that it had received allegations of sexual exploitation and abuse by members of the Tanzanian contingent attached to the MONUSCO Force Intervention Brigade in Mavivi village in the eastern part of DRC.
According to preliminary information, there are 11 such allegations against the Tanzanian troopers in the area, all of them involving paternity claims.
The implicated soldiers have been detained awaiting the further UN investigation while the whole Tanzanian troop has also been confined to the brigade’s base station. Meanwhile, a top UN official on sexual abuse is expected to arrive in the region soon.
Tanzanian soldiers in DRC arrested over sex abuse
----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
Report implicates Kenyan military in sugar smuggling racket in SomaliaAfadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....