PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na
Your browser is not able to display this video.
mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi fifa 23.


Update;

Final fifa 23 got crack

Imeshakuwa uploaded karibu site zote za torrents na direct link


Link



FC24 id hag94 niadd friend tukipige online..
 
Mkuu nkajua mambo haya upo vzuri sana ndo raha yetu hii Mkuu mm nacheza 2017 tho lina patch ya 2017 na jezi bt master league inanipotezea mda....nipo 2065
 
Me nasubiri mwezi wa 10 pes 19 itoke crack niidownload
aaah now days naona nao wanazingua kuanzia walivyotoa pes2018. Wanawaiga fifa viwango vinakuwa vikubwa mno kiasi wenye mashine za kawaida tunakwama.
 
Mkuu nkajua mambo haya upo vzuri sana ndo raha yetu hii Mkuu mm nacheza 2017 tho lina patch ya 2017 na jezi bt master league inanipotezea mda....nipo 2065
Kuna patch mpya nzuri san zimetoka mwezi wa sita na saba. But ujipange gb 4+

Ila kuna min patch ya mb 900+ na ni nzuri pia ya viwanja kuongeza mb 900+ pia.
Na kuna score board changer kila ligi inakuwa na score board yake around mb 300.

Zicheki hapa micano4u.org. uzuri patch zote zinakuwa na youtube video tutorials zake kama sio mtaalamu.
 
Me napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
 
Jamani mi nacheza FIFA 18 kwenye pc sema nikiwa nacheza Lina stack stack nifanyeje
 

KAKA... NIPE SITE ulipolitoa kaka ninashida nalo hilo
 
Jamani mi nacheza FIFA 18 kwenye pc sema nikiwa nacheza Lina stack stack nifanyeje
pc ina viwango vinavyojitosheleza kurun hilo game?
Taja specification za pc yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…