PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

hahah lile GB10... dah linatesa kudadeki... baada ya kulala unahangaika na midude.. itabidi nifanye hivyo maana nina shida
mkuu mbona sumple tu unaset mitambo kisha unaenda kulala ukiamka kesho yake wewe ni kuinistall tu.
 
mkuu mbona sumple tu unaset mitambo kisha unaenda kulala ukiamka kesho yake wewe ni kuinistall tu.
unawajua VODA au UNAWASIKIA..?? sijui nina balaanao gani unakuta unaweka moderm ipo on.. baada ya dk 30 unaikuta imezima... kama ukijisahau tu.. unapitiliza hadi asbh alaf unakuta only 2gb downloaded
nitatumia HALOTEL..
 
Simu huna uikonect au njoo nikupe. Kama uko dar.
 
Mkuu nkajua mambo haya upo vzuri sana ndo raha yetu hii Mkuu mm nacheza 2017 tho lina patch ya 2017 na jezi bt master league inanipotezea mda....nipo 2065
Tangu niijue utamu wa become a legend. Now nishasahau master league, mara ya mwisho nilikuwa kocha wa boca junior.
 
Mwenye hizo game naombeni wadau nilikua nakomaa na fifa 15 yangu ila saivi alichezi
 
Nina pes 2017 + patch ya 2018 (cpy crack) asee ni noma hii kitu. Ukiwa na 4gb ram unaicheza vizuri tu
 
Back
Top Bottom