PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Me napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
Raha ya pc uwe na controller mkuu, mimi nina generic usb controller na kamwe hunirudishi tena kwenye playstation.

Playstation huwezi patch na kumod game kama pc.
 
Nina pes 2017 + patch ya 2018 (cpy crack) asee ni noma hii kitu. Ukiwa na 4gb ram unaicheza vizuri tu
mkuu chukua patch ya 2018-2019. Imetoka mwezi wa saba ndio balaa.
 
Naona mara patch sielewi ni vitu gani
Patch nu update. Yani mfano kila msimu mpya kunaongezwa wachezaji wapya. Jezi mpya za msimu. Transifer & etc. Muonekano mpya vitu kama score board na start screen.
 
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Heshima kwako mkuu!!
Naomba Nisaidie hapo kwenye Ku update aisee!!
 
Capture.PNG
Game za Kibabe izo
 
Lenovo core i5 200u@2.2oghz 64 bit operating system
Nipo mbali na pc yangu sikumbuki exactly nilivyoseti ila cheki kwenye folder la game ama kwenye documents kisha Ea kisha folder la fifa kuna text file la configuration badili toka 1280x720 iende 800x480 itapungia quality na game litakuwa smooth,

Nimecheza fifa 17 na 18 zote kwa i5 4th gen hio yako ya 5th gen haiwezi sumbua.
 
Mwenye squad update za Fifa14 za mwezi huu tahadhali, share
 
Mwenye squad update za Fifa14 za mwezi huu tahadhali, share
Search google micano4u. Kuna update latest kabisa ya fifa 14 imetoka ndani ta wiki hii utaikuta kwenye hiyo blog
 
Back
Top Bottom