PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Zipo za kutosha,

Assassin Creed, dead pool, gta3, na V, the punisher, Spider-Man, mission impossible, call of duty, call of duty watch dog, na mengine kibao NFS2, Fifa, resident evil, GTA grand thief etc etc
nakuja kesho
 
m
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.

mkuu nimekwama kwa diect x kutofanya vizuri naomba link ya direct x nzuri niidownload
 
Wakuu nina computer spec zake zipo kwenye hyo picha. Nataka kuweka fifa na need for speed. Ushauri wenu ipi itanifaa?
IMG-20180807-WA0001.jpg
 
Wakuu pc yangu hiii naweza weka mzigo upi ukarun bila shidaa[emoji116] [emoji116]
IMG_20180606_143318.jpg
 
Jamani naingia micano 4u.org Lakini nashindwa kudownload patch. Please naomba maelekezo kwa screenshots hatua kwa hatua. Ama nikipata link yenye uhakika itakuwa poa sana
 
Naomba link ya recently patch ya fifa 14 mkuu
Nilidownload fifa 14 na patch latest kabisa ya mwezi huu. Gb 2.7

But installation foder inabidi uwe na nafasi kuinistall inataka gb 19. Free space.


Ingia micano4u.org then chekj fifa 14 next season 2019. Zipo tatu. Chukua ya kwanza gb 2.7+ .then chukua version 2.0 ina mb kama 70+. Harafu chukua na version 3.0 mb kama 57


Hapo utakamalisha utakuwa na muonekano unaokaribiana na fifa 19.
 
Jamani naingia micano 4u.org Lakini nashindwa kudownload patch. Please naomba maelekezo kwa screenshots hatua kwa hatua. Ama nikipata link yenye uhakika itakuwa poa sana
Mbona simple mkuu, au matangazo ndio yanakuzingua?.
 
Back
Top Bottom