Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
- Thread starter
- #121
fifa gumu sana kama umezoea pes. halafu master ligi yao nzuri but kukosekana uefa ndio kunainyima utamu. coz unakuta mtu unagombea vikombe vya ligi tu. na sio kuqualify uefa na europaMi nacheza Pes 2017 kwenye Intel HD 3000 inarun very smooth aseee hadi raha, fifa kwangu inacheza ya 14 but imekuwa patched to 18.
Tatizo la fifa kuanzia gameplay building up mpaka kuscore ni ngumu balaa but pes ni simple sana, ila pes 2017 naona long shot kufunga ni mtihani kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app